Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Jul 3, 2013 #21 hapo sasa ndio umeweka mambo sawa, huwezi kumwambia mtu atafute X, halafu akishakuonyesha mahali ilipo inakuaje? watu8 said: Hahahah...nafahamu mtu wangu...kihisabati walipaswa waandike, "Find the value of X...." Click to expand...
hapo sasa ndio umeweka mambo sawa, huwezi kumwambia mtu atafute X, halafu akishakuonyesha mahali ilipo inakuaje? watu8 said: Hahahah...nafahamu mtu wangu...kihisabati walipaswa waandike, "Find the value of X...." Click to expand...
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,036 Reaction score 168,671 Jul 3, 2013 Thread starter #22 Elli said: Safi sana ana akili kuliko shule, ni mjuzi kuliko hata Idd Amin Dada, safi keep it up. Hana kosa, kama kuna mtu anadhani ana kosa naomba anifafanulie Click to expand... Elli jamaa hana kosa lolote, si kisha onyesha x, kama wewe ulidhani hato iona yeye kisha iona kabla yako Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Elli said: Safi sana ana akili kuliko shule, ni mjuzi kuliko hata Idd Amin Dada, safi keep it up. Hana kosa, kama kuna mtu anadhani ana kosa naomba anifafanulie Click to expand... Elli jamaa hana kosa lolote, si kisha onyesha x, kama wewe ulidhani hato iona yeye kisha iona kabla yako
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Jul 3, 2013 #23 No, unajua kuna mtu kasema eti jamaa kakosea sana, ndio nikauliza kuwa kosa lake ni lipi? kama ni X si keshaionyesha?wenye kosa ni Mwalimu aliyetunga swali kama hilo Bujibuji said: Elli jamaa hana kosa lolote, si kisha onyesha x, kama wewe ulidhani hato iona yeye kisha iona kabla yako Click to expand...
No, unajua kuna mtu kasema eti jamaa kakosea sana, ndio nikauliza kuwa kosa lake ni lipi? kama ni X si keshaionyesha?wenye kosa ni Mwalimu aliyetunga swali kama hilo Bujibuji said: Elli jamaa hana kosa lolote, si kisha onyesha x, kama wewe ulidhani hato iona yeye kisha iona kabla yako Click to expand...
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Jul 3, 2013 #24 makubwa hayo