Ukombozi wa nchi upo mikononi mwetu.
Mimi nimedhamiria na kila wiki lazima nimtumie mzee wangu magazeti ya mwanahalisi na raia mwema na mwananchi ili ajue nchi inavyo endeshwa na kisha tunapiga story kuhusu mustakabali wetu km familia na nchi yetu kwa ujumla.
CCM wanatukana sana walioko vijijivi eti wanasema hayo mnayoyaandika kule vijijivi hawasikii, kukiwa na mijadala ya manufaa lazima niwataarifu pia wasikilize na wajue mitazamo halisi ya watz