Mimi + Ange Kagame = Next Michael Jordan

mzalendo91

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2010
Posts
430
Reaction score
138
ImageUploadedByJamiiForums1407397533.546198.jpgImageUploadedByJamiiForums1407397548.423046.jpgImageUploadedByJamiiForums1407397569.961024.jpg

Mh. Paul Kagame mie ni kijana wa kitanzania ambaye ghafla bin vuu baada ya kuona picz za mtoto wako huyo jana kwenye social media mapigo yangu ya moyo yalianza kwenda speed kama vile yamewekewa engine ya Bugatti...

Ombi la waraka huu ni kuwa kama kijana wa kizalendo wa tanzania sipendi kuona nchi hizi zetu 2 zikiendelea kuwa na malumbano yasiyo na tija.

Hivyo ilikumaliza mgogoro baina ya nchi hizi mbili nilikuwa nnaomba unipe walau nafasi ya kama siku 2.

Ili niweze kukaa na bintio na kujadiliana ni jinsi gani tunaweza kumaliza huu mtafaruku baina ya nchi zetu hizi.

NB: Ila mh. PK bintio mashallah
 
Myahudi mweusi aunganishwe na kyasaka? Thubutu!!!
 
Mie mwenyewe ninahisi pia nina asili ya uyahudi so litakuwa bonge la collabo.. Embu pata pic nimetupia high heels za kiume walau nimfikie mke wangu Ange Kagame kwenye mabega yake
 
View attachment 175759View attachment 175760View attachment 175761

Mh. Paul Kagame mie ni kijana wa kitanzania ambaye ghafla bin vuu baada ya kuona picz za mtoto wako huyo jana kwenye social media mapigo yangu ya moyo yalianza kwenda speed kama vile yamewekewa engine ya Bugatti...

Ombi la waraka huu ni kuwa kama kijana wa kizalendo wa tanzania sipendi kuona nchi hizi zetu 2 zikiendelea kuwa na malumbano yasiyo na tija.

Hivyo ilikumaliza mgogoro baina ya nchi hizi mbili nilikuwa nnaomba unipe walau nafasi ya kama siku 2.

Ili niweze kukaa na bintio na kujadiliana ni jinsi gani tunaweza kumaliza huu mtafaruku baina ya nchi zetu hizi.

NB: Ila mh. PK bintio mashallah

Hahahaaa nimecheka kweli pk jamiiforums anaijua kweli umenikumbusha yule jamaa wa kenya alietaka auze ngombe wote ili amuowe mtoto wa bil clinton hapo ni kama mbingu na ardhri utachoma sana mahindi na kulia na ukuta lol.
 
yule jf member aliye muomba obama amchumbie malia, alishajibiwa?.
 
Hahahaaa nimecheka kweli pk jamiiforums anaijua kweli umenikumbusha yule jamaa wa kenya alietaka auze ngombe wote ili amuowe mtoto wa bil clinton hapo ni kama mbingu na ardhri utachoma sana mahindi na kulia na ukuta lol.

PK ana wapambe wake kila kona so nnajua ujumbe utamfikia tu... Ikishindikana nitafunga safari nkapige kambi ikulu kwake
 
Hii mbegu kweli inavirutubisho

Kama ulikuwepo aiseeh maana baba mkwe wangu ana 6.2 mama mkwe 6ft mke wangu mtarajiwa itakuwa kama sikosei ni 6.5ft na ka urefu kangu ni 5.11 so out unborn children c ajabu wote wakawa urefu wa mama yao kama sio kumpita zaidi
 
Kwa Wahima, huyu binti ni wa kawaida sana!. Anaonekana kung'ara kwa sababu anatoka ikulu na ana access na media. Lakini ukiwaona Wahima hata vijijini ndani, utashangaa. Unaweza kudhani walishushwa kama quruani ilivyoshushwa katika mapango!.
 
unamchokonoaaa p.k kwikwimwi.....usijetumiwa assasins heheheh
 
View attachment 175759View attachment 175760View attachment 175761

Mh. Paul Kagame mie ni kijana wa kitanzania ambaye ghafla bin vuu baada ya kuona picz za mtoto wako huyo jana kwenye social media mapigo yangu ya moyo yalianza kwenda speed kama vile yamewekewa engine ya Bugatti...

Ombi la waraka huu ni kuwa kama kijana wa kizalendo wa tanzania sipendi kuona nchi hizi zetu 2 zikiendelea kuwa na malumbano yasiyo na tija.

Hivyo ilikumaliza mgogoro baina ya nchi hizi mbili nilikuwa nnaomba unipe walau nafasi ya kama siku 2.

Ili niweze kukaa na bintio na kujadiliana ni jinsi gani tunaweza kumaliza huu mtafaruku baina ya nchi zetu hizi.

NB: Ila mh. PK bintio mashallah

jaribu zali la mentali mkuu
 
Nafikiri zile nyimbo za akina 'Marijani' za shingo ya upanga zinamhusu huyu binti mfalme....Ila huo urefu, mpaka babake mzazi andunje pamoja na urefu wake!
 
Kwa Wahima, huyu binti ni wa kawaida sana!. Anaonekana kung'ara kwa sababu anatoka ikulu na ana access na media. Lakini ukiwaona Wahima hata vijijini ndani, utashangaa. Unaweza kudhani walishushwa kama quruani ilivyoshushwa katika mapango!.

Hivi hao wahima wanapatikana hapo hapo kwa PK au!!? Embu fanya kunitumia sample yao aiseeh
 
unamchokonoaaa p.k kwikwimwi.....usijetumiwa assasins heheheh

Eeh!!! Mie sijagusa ufalme wake bana... Ni hili limoyo langu badala ya kufanya kazi yake ya kupump damu limeishia kumdondokea bintie tu
 
Nafikiri zile nyimbo za akina 'Marijani' za shingo ya upanga zinamhusu huyu binti mfalme....Ila huo urefu, mpaka babake mzazi andunje pamoja na urefu wake!

Yaani na huo urefu wake ndio ugonjwa wangu mie
 
Back
Top Bottom