Mimba

Mimba

Mmenifurahisha kweli yaani watoa majibu.

Huyu mtoa mada ni mjinga so mngemtoa ujinga jamani.

Ndugu mtoa mada, mimba haipo kwenye bao aisee, mimba hutengenezwa endapo mbegu ya kike na yakiume zikikutana.
Katika mwili wa binadamu mimba hutungwa kwenye via vya uzazi vya mwanamke, kwenye mirija ya falopiani na baadae hujishikisha kwenye uterasi.

Kutengenezwa kwa mimba haijalishi umetoa shahawa mara ngapi, kitu cha muhimu ni kukutana kwa megu ya kiume na ya kike.
 
Hata bao la kwanza tu mzurimie anapata mimba!?
Kuna mdau kamwambia eti mpaka la kumi!!!


lolote na wengi hufana moka na mimba hiyo hpo labda utasikia mtu anasema mbona mara moja tu na siku moja....jiulize...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom