Wana JF,
Hivi ni kweli mwanamke anaweza kupata mimba akiwa na bikira hata kama haijaondolewa? mara ya mwisho binti flan aliniambia ana bikira nikajitahidi sikufanikiwa nikajikuta manii zinanitoka na kumwagikia juu ya kinena!
Baada ya siku saba akaja na kipimo kinachosema ana ujauzito!?....Inawezekana? nahisi kushikishwa!
Jambo la ajabu ananishauri tuitoe lakini mimi siafiki kabisa jambo hilo kama ni kujifungua nitalea damu yangu. Naomba ushauri!
Baba mshauri viaHili swali linawafaa wazazi wako waliyekuzaa mtoto kama wewe ambaye kimsingi hufai. Unashindwa kitu kidogo kama hicho halafu kwa ujuha wako unatangaza? Nenda jando mwanangu uachane na ujuha.
we umeshawahi kutoa bikra?kama kweli umewahi kutoa basi huwezi kutoa kauli kama yako...it aint easy kutoa ile kitu etiHili swali linawafaa wazazi wako waliyekuzaa mtoto kama wewe ambaye kimsingi hufai. Unashindwa kitu kidogo kama hicho halafu kwa ujuha wako unatangaza? Nenda jando mwanangu uachane na ujuha.
we umeshawahi kutoa bikra?kama kweli umewahi kutoa basi huwezi kutoa kauli kama yako...it aint easy kutoa ile kitu eti