nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,281
- 3,243
muswada tata wa sheria ya kutoa mimba soon utapelekwa bungeni.......muswada huu unasemekana unakuja TZ kwa shinikizo toka nchi za nje....wataalam wa pro life wameanza kupiga kelele za chini chini...lakini pia serikali(kupitia speaker)wanaonekana kuufagilia huu muswada.....moja ya sababu inayosemwa kutolewa na serikali ni kutumia utoaji mimba kama njia mojawapo ya contraception....haswa kuzikabili zile mimba tata zitokanazo na issues kama rape, magonjwa mabaya ya kurithi....na sana eti kama njia ya kupunguza vifo vya mama na mtoto......kwa kuruhusu utoaji mimba kwenye vituo maalum vitakavyoandaliwa kwa ajili ya kazi hii.......ebu toa msimamo wako juu ya hili..ukizingatia kuwa watu wanaweza kutumia mwanya huu wa legal abortion kutoa mimba ambazo wala hazina shida........your take on this please...na naona iko haja tuanzishe thread juu ya uhalalishwaji wa kutoa mimba TZ........."Hivi mwanaume kakataa mimba we umelea ya nini? Haki ya nani mi mwanaume hajaniachia mimba nikalea, labda aniachie mtoto hapo angalau!"
Hayo ni maneno ya dada mmoja kwenda kwa mwingine ambae ni mama mtarajiwa. Alikua anamwambia kauli yake ikisuggest kwamba mwanaume anapokimbia/kataa mimba basi kiumbe cha watu kinakosa haki ya kuishi hivyo kitolewe. Hii kitu imenifanya nijiulize. . .
1.Hivi mimba ni ya nani? Ya mwanaume hivyo asipokua tayari kushiriki katika malezi yake basi iondolewe na kutupiliwa mbali?
2.Mimba ni ugonjwa usiozuilika hata watu wasijali wakati wa kupata ila wawe tayari kutumia gharama kuziondoa?
3.Baadhi ya wanawake wa akili za aina gani hata wajiweke katika position za kupata mimba na mwanaume asiyeeleweka huku wakijua fika 'BILA KUWEZESHWA HAWAWEZI'??"
Nasikitika kuona kwamba wanawake wengine wana fikra zilizokaa kinyume nyume na bila huruma wako tayari kuadhibu viumbe ambavyo havikishiriki kwenye mambo na starehe zao binafsi.