Mimba. . . .

kama mwanaume amekataa na umepima mwenyewe umeona huwezi then toa,single parenting is not an easy ride.......

Ukiona mwanaume amekataa mimba ujue hujatulia ulikuwa kiruka njia leo kwa Haji kesho kwa Mrisho kesho kutwa kwa Sudi
 
kama mwanaume amekataa na umepima mwenyewe umeona huwezi then toa,single parenting is not an easy ride.......
aaah kabisa kutoka moyoni uko ready kumtoa mtoto coz uwezi kuwa single mom.
ushawahi kuona labda kwenye tv mtoto/mimba inavyotolewa ?
acha tu ukiona kile kiumbe kinavyoangaika wakati anatolewa kamwe maishani mwako utotaka kusikia kuhusu swala la kutoa mimba unless una moyo wa chuma.
wewe ukijikata kwa bahati mbaya na kisu au wembe unajisikiaje maumivu au ukiungua na moto kwa bahati mbaya unasikiaje maumivu afu peleka yale maumivu kwa mtoto unayemtoa.
ni bora upate fedheha za wanadamu kuliko kutoa mimba.
tafuta cd ya jinsi ya kutoa mimba ndo utaelewa.
 
Lizzy mdogo wangu!
Kwani niwaulize swali! Hivi mdada mpaka anabeba mimba hakujadiliana na mwenzake? Hivi kweli katika dunia ya sasa yenye mbigiri kila kona unaenda naye kavukavu tu! Bora awe amekuachia hiyo mimba pekee na gonjwa je? Kama msichana hajabakwa akibeba mimba ni uzembe wake! Wala tusilitetee hilo.
Kuna wanaume huwa wana date na wasichana, bahati mbaya sana hawa wadada hujua kabisa EM ni mme wa mtu! Lakini hubeba mimba na kung'ang'ania kuwa hii mimba ni ya EM! Kweli unategemea mimi EM nikubaliane na hii hali? Wadada mkiamua kutembea na waume za watu jihadharini msibebe hizo mimba! Unless mmekubaliana na huyo mwanamume ama uwe umeamua mwenyewe kuwa hicho kitakachozaliwa una uwezo wa kukilea bila kumsumbua huyo mwanaume.
Mi kuna dada alimwambia mmbaba mmoja rafiki yangu kuwa anahitaji mbegu yake tu! na kweli jamaa alimpa mbegu from there hakuna kujuana ingawa wakikutana libeneke huendelea kwa raha tu na wala sio baba fulani. Kama unao uwezo wa kulea mimba beba! Kama huna uwezo acha sio lazima!
 
Wakati akimpa bila kinga alitegemea utamu tuuuu au hajui kuna mimba pia?

Wakati anabinuka mbuzi kagoma kwenda sijui kichuma mboga mara kifo cha mende aliona rahaaaaaaaa akasahau kuwa anaweza nasa mimba wakati wowote wa kufanya uzinzi huo
 
Ukiona mwanaume amekataa mimba ujue hujatulia ulikuwa kiruka njia leo kwa Haji kesho kwa Mrisho kesho kutwa kwa Sudi

wapo kibao wanaoruka kimanga,kisa hawako ready kwa ulezii kwa taarifa yako....
 
aaah kabisa kutoka moyoni uko ready kumtoa mtoto coz uwezi kuwa single mom.
ushawahi kuona labda kwenye tv mtoto/mimba inavyotolewa ?
acha tu ukiona kile kiumbe kinavyoangaika wakati anatolewa kamwe maishani mwako utotaka kusikia kuhusu swala la kutoa mimba unless una moyo wa chuma.
wewe ukijikata kwa bahati mbaya na kisu au wembe unajisikiaje maumivu au ukiungua na moto kwa bahati mbaya unasikiaje maumivu afu peleka yale maumivu kwa mtoto unayemtoa.
ni bora upate fedheha za wanadamu kuliko kutoa mimba.
tafuta cd ya jinsi ya kutoa mimba ndo utaelewa.

dont play sympath card, am sure huyo mtoto atakushangaa akikuona unamlea kwa mateso kwa nini hukumtoa....
 
*** mtupu! Kwan wakati anangonoka alifikiri ni "soda" ilikua inaingia kule naniliu? Mawazo ya kutoa mimba ni kama ya -ccm-
 
kama hujawahi kuingia kwenye situation ya huyo dada na ukalazimika kufanya uamuzi wa either kutoa au kulea mimba ni vigumu kuizungumzia hii issue kwa uhalisia... katika hali halisi mambo hayaendi kwa kujumlisha na kutoa kama tunavyofikiri... wapo waliohakikisha wamevaa kondom au wako kwenye siku salama lakini, for one reason or another, mambo yakaenda kombo pia...
 
I know life- It is so hard if you don't have sufficient income...It was pronouced since the beggining "By thou sweat shall you eat". if you truly walk with God He will never let you die of hunger.....
Kwa nini tunayaogopa maisha hata we are ready to kill so we live?(kwa sababu that is killing)...
One soul is not better than the other. Kweli unataka maisha bora at the cost of someone's life?
eee Mungu samehe hiki kizazi. Na nyie watoa ushauri u r going to be accountable for how u used ur knowledge to advice keep that in mind.
 
Hear me girls out there believe when i say that you will never forget, Please usi-freak bila sox even if the guy says its not the same. The agony of unwanted pregnancies and abortions is too much of a big price to pay just to make a man happy. Leave the ignorant fool who is advocating for nyama kwa nyama!!!
 
Kulizungumzia suala ya kutoa mimba kunahitaji tafakuri ya kina na wakati mwingine kuvaa viatu vya wahusika wa suala hilo.

Hebu fikiria binti ni tegemezi kwa asilimia 100 na familia yake ipo ktk kundi la mafukara, binti amegeuzwa kuwa kiburudisho/mfariji wa ngono na mchovu mwenzake, inatokea mimba anaikana kwa sababu hana uwezo/hataki majukumu Huyo binti afanyeje? hapa ni bora aitoe ili aendelee na maisha yake.

Pia kwa sehemu kubwa mahusiano ya cku hizi ni ya kuburudishana zaidi ya kujenga familia, vijana(me) wengi bado wapo wapo sana kuhusu suala la kuanza kununua pampas,n.k, na wengine hawataki kabisa kuzaa na watu ambao hawatakuja kuishi nao kwa hiyo mimba ikizalishwa aidha binti akubali itolewe au iwe yake, sasa ni juu ya binti ana uwezo wa kuitunza, familia je-itamuunga mkono au ndo mwanzo wa mateso?

Kwakweli twendeni na hali halisi nafikiri ipo haja bila ya msukumo wa dini yetu suala la kutoa mimba liruhusiwe
 
kutoa mimba ni kipimo tosha cha ukomavu wa mtu.
Kuna watu ambao hawajiwezi kusimama kwa miguu yao.

Kwa hali yeyote, mwanamme anayempa mimba msichana hana haki ya kuikataa maana walifurahi wote na wote wanatakiwa kuwa responsible.

A man whether married or single hatakataa mimba yake, lakini hawa masharobaro kula na kulala kwa dada lazima aruke.

Wito kwa wadada, angalia sana mtu unayengonoka naye, ujue unadeal na mtu wa aina gani.

Ila pia mdada kumbuka, nyie huwa kama askari aliyetumwa kuua, una hiari ya kukubali na kukataa.
Wanamme huwa ni kama syndicate inayokutuma kuua, kwa kukushinikiza au kukubembeleza.
Ila mdada, wewe ndo utafyatua risasi, una hiari ya kuasi na hakuna atakayekufanya lolote.
 
dont play sympath card, am sure huyo mtoto atakushangaa akikuona unamlea kwa mateso kwa nini hukumtoa....

Wanawake mna roho ngumu. Ila sidhani huo ugumu wa roho utakuwepo kama ni lile gonjwa.
 
Majuto ya nini kama short cut ipo mwanaume kakataa mimba na binti haupo tayari kulea solution ni kuitoa ila umakini wahitajika cause kizazi chaweza kuharibiwa.
 
hivi kipimo cha ugumu wa maisha ni ngapi?

Maana huwa sielewi, ugumu wa maisha kwa gharama ya mtoto asiye na hatia?

Wanawake mna roho ngumu. Ila sidhani huo ugumu wa roho utakuwepo kama ni lile gonjwa.
 
Back
Top Bottom