"Hivi mwanaume kakataa mimba we umelea ya nini? Haki ya nani mi mwanaume hajaniachia mimba nikalea, labda aniachie mtoto hapo angalau!"
Hayo ni maneno ya dada mmoja kwenda kwa mwingine ambae ni mama mtarajiwa. Alikua anamwambia kauli yake ikisuggest kwamba mwanaume anapokimbia/kataa mimba basi kiumbe cha watu kinakosa haki ya kuishi hivyo kitolewe. Hii kitu imenifanya nijiulize. . .
1.Hivi mimba ni ya nani? Ya mwanaume hivyo asipokua tayari kushiriki katika malezi yake basi iondolewe na kutupiliwa mbali?
2.Mimba ni ugonjwa usiozuilika hata watu wasijali wakati wa kupata ila wawe tayari kutumia gharama kuziondoa?
3.Baadhi ya wanawake wa akili za aina gani hata wajiweke katika position za kupata mimba na mwanaume asiyeeleweka huku wakijua fika 'BILA KUWEZESHWA HAWAWEZI'??"
Nasikitika kuona kwamba wanawake wengine wana fikra zilizokaa kinyume nyume na bila huruma wako tayari kuadhibu viumbe ambavyo havikishiriki kwenye mambo na starehe zao binafsi.
Wakati ana miezi miwili, lakini ukienda deep sana mimba ikisha ingia tu huna haki ya kuitoa.Suali ambalo wengi watakuuliza ni kiumbe tumboni huhesabika kuwa kiumbe kuanzia lini?
"Hivi mwanaume kakataa mimba we umelea ya nini? Haki ya nani mi mwanaume hajaniachia mimba nikalea, labda aniachie mtoto hapo angalau!"
Hayo ni maneno ya dada mmoja kwenda kwa mwingine ambae ni mama mtarajiwa. Alikua anamwambia kauli yake ikisuggest kwamba mwanaume anapokimbia/kataa mimba basi kiumbe cha watu kinakosa haki ya kuishi hivyo kitolewe. Hii kitu imenifanya nijiulize. . .
1.Hivi mimba ni ya nani? Ya mwanaume hivyo asipokua tayari kushiriki katika malezi yake basi iondolewe na kutupiliwa mbali?
2.Mimba ni ugonjwa usiozuilika hata watu wasijali wakati wa kupata ila wawe tayari kutumia gharama kuziondoa?
3.Baadhi ya wanawake wa akili za aina gani hata wajiweke katika position za kupata mimba na mwanaume asiyeeleweka huku wakijua fika 'BILA KUWEZESHWA HAWAWEZI'??"
Nasikitika kuona kwamba wanawake wengine wana fikra zilizokaa kinyume nyume na bila huruma wako tayari kuadhibu viumbe ambavyo havikishiriki kwenye mambo na starehe zao binafsi.
Wakati ana miezi miwili, lakini ukienda deep sana mimba ikisha ingia tu huna haki ya kuitoa.
Anaye tunga sheria Tanzania nani?Huna haki kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Lakini Tanzania hakuna sheria ya nchi inayozingatiwa
Huwa sielewi nikisikia Mwanamke anapata mimba bila kupanga kumbe nilikuwa najidanganya......kuna kisaloon umbeya jiran yangu ndio huwa nanunuwa vocha, basi nilikuta topic kama hii na niliwasema wale wanawake LIVE ni kwa nini mnapata mimba bila kupanga?
Maskini ya mungu kumbe hawa kina dada/mama walioishia darasa la saba au kukosa elimu ya uzazi wapo wengi kuliko tunavyofikiri tena waliniomba niwapen elimu kwamba nje ya condom na vidonge wanawezaje kuzuiya mimba zisizotarajiwa? imagine hawa wote ni wake za watu kumbe wanazaa hovyo kwa kuto hata kujuwa siku salama kwao ku do unprotected!!
Ninavyofahamu mimi mwanamke yeyote anayejitambuwa hawezi kupata mimba kama hajamuuwa kuzaa hata mwanaume uweje.