Mimba.....!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimba.....!!!

Discussion in 'JF Doctor' started by luckyperc, Aug 5, 2011.

 1. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wadau hivi mpenzi wako ameanza blid j4 na kumaliza alhamisi.


  Je ukilalanae bila kondom siku ya j1 kuamkia j2 kuna uwezekano wa mimba kushika? Help plz.
   
 2. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Ulivyoandika vigumu kueleweka...j1 kuamkia j2 ipi? same week? a week later? 2 weeks later?

  Inategemea na urefu wa mzunguko wake wa mwezi (bleed moja mpaka nyingine ni siku ngapi). kwa wengi ni siku 26 - 28, kwa wachache ni fupi na wengine ni ndefu. Kama mzunguko wake ni wa kawaida (siku 26 - 28) au mrefu (zaid ya siku 28), basi si rahisi kupata mimba kwa siku hizo ulizotaja. Lakini kaka ana mzunguko mfupi, uwezekano upo...japo pia ni mdogo.

  NB: Condom huzuia tatizo kubwa zaidi ya mimba.....kifo! use it!

  Pole.
   
 3. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mkuu kwenye bluu:

  Ni j1 kuamkia j2 ya wiki hii ndo nakutananae.

  na hapo kwenye red sijakuelewa unakuwaje rahisi tena, halfu yeye mzunguko wake ni siku 28.

  mzee(kijani) hata kwa mpenzi wako siku 1 usimvulie akahisi ladha yako.

  AHSANTE KWA KUNIPA POLE!
   
 4. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Sorry, pana typo pale...nilimaanisha 'kama mzunguko wa mpenzi wako huyo ni mfupi, yaani chini ya siku 26, basi kunawezekana akapata ujauzito...lakini uwezekano huo ni mdogo. mara nyingi kuanzia siku ya 8 au 9 tangu kubleed ndio inakuwa hatari kwa wanawake wenye mzunguko mfupi.

  Lakini kwa kuwa huyo mpenzi wako ana mzunguko wa siku 28 (are you sure?) basi hawezi kupata ujauzito kwenye siku hizo ulizotaja.

  wanawake wenye mzunguko wa siku 28 hutoa yai siku ya 14 tangu aanzae kubleed, kwa hiyo hatari ya kupata mimba kwao ni kuanzia siku ya 11 tangu aanze kubleed, mpaka siku ya 18.

  Again, Condom ni muhimu, hata kama ni mpenzi wako wa muda mrefu.
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu, mwanamke anaweza kushika mimba ndani wakati ana bleed?
  Kingine kawa mwanamke siku zake ni ndefu siku 30 mpak 32, ni muda gani kwake kushika ujauzito?
   
 6. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Penye red...no, mwanamke hawezi kushika mimba akiwa anableed. Kwani anapobleed nikuwa anatoa yai ambalo halikurutubishwa na kizazi kinashed off ili kujiandaa na mzunguko mpya.

  Penye blue..yai huwa linatolewqa kati ya mzunguko wa mwezi tayari kwa kurutubishwa, kwa hiyo hapo yai litatolewa siku ya 15 au 16. Mbegu za mwanaume zinaweza kuwa hai kwa si zaidi ya siku tatu, so ukitoa hapo...siku zake za ujauzito zitakuwa kuwanzia siku ya 12 tangu aanze kebleed, mpaka siku ya 19.
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  du! kazi kweli kweli..
   
 8. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  unajuaje mnaomvuli cku moja moja nko wengi? B careful
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu Riwa, nashukuru sana kwa majibu yako murua!
  Naomba nikuulize tena mkuu, Mwanamke kama mirija yake ina matatizo ana uwezo wa kushika mimba?
  Na Mwanaume kufanya sana ngono kunaweza kuwa sababu kutompa mwanamke ujauzito?
   
Loading...