Mimba ya kwanza inanitesa bila soda hatulali

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,915
Reaction score
3,227
Habarini za asubuhi wakuu,

Nipo kwenye mahusiano japo sio rasmi kwa maana si mke wala mchumba, hii ilikuja baada ya kupatikana kwa ujauzito kimakosa baada ya kujisahau kumwagia nje. Stick to the point mtu wangu huyu ni mjamzito.

Ujauzito huo umekua kero kwa maana nyingine kwa maana bila soda aina ya Cocacola ndani hakuna amani soda hizi kati ya tatu ama nne kwa siku moja mbaya zaidi hadi usiku wa manane unaamshwa mtu anataka soda.

Hivi ni halali haya mambo
 
Palilia tuu c ulipanda!!!! Itikia wito ndugu ukipewa ulee unaeza sema bora yake
 
We nunua coca cola jaza kwa friji!!...soda zenyewe mia6 tu! mie nilikua nataka keki kila siku zanunuliwa miezi mi 3 kila siku birthday hamu ikaish
 
Soda tu unalalamika, je mimba ingetaka savannah si ungemkimbia? Nunua creti la soda muwekee hapo, likiisha unaleta lingine....

Jirani yangu mimba ya mkewe inataka mzinga wa konyagi kila siku, shida tunayo..
 
Afadhali ye mimba yake inahitaji unavyoweza kuvimudu. Wengine mimba huwa zinawachukia wenzi wao!! Yaani hatamani hata kukuona usoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…