Naona wamepania kutumia watoto kutengeneza pesa. Kwanini wafanye mimba ni kitu cha ajabu. Tanzania kuna watu mamilioni ambao wote wamezaliwa na wanawake. Wangeichukulia mimba jinsi wanavyofanya hao mabinti sijui kama hii nchi ingekalika. Mimba kutoka ni kitu cha huzuni huna haja ya kushirikisha Tanzania nzima.Naona imeingia fashion ya kubeba mimba kwa mastaa wetu. !
Na connect dots naona zibakubali, teh huenda habari za kale kaubuyu zinemfanya anywe dawa za malariaEvelyn Salt unakumbuka uliniuliza nini?
Nami nikakujibu nini?Haya sasa kazi kwako.
mimba y insta aummh!! bado mimba fake ya mama ubaya kuchoropoka
Hivi Wema alikunyima nini bestizo?mimba y insta au
Hiyo mimba alipata kwa bluetooth au watsup mana inanadiwa kma mbuzi wa sherehe....isije ikatoka kwa kutapika matembeleHivi Wema alikunyima nini bestizo?
Naona siku akijifungua nijiandae kukuletea uji Mount Meru!
Time will tellHiyo mimba alipata kwa bluetooth au watsup mana inanadiwa kma mbuzi wa sherehe....isije ikatoka kwa kutapika matembele
Roho mbaya haijengi mkuu muombee kheri mwenzio, unaandika utafikiri kakunyanganya buzi bhana aaaahhhh!!Bado ya mama ubaya.tutasikia mengi sana yake atapata presha ya ghafla then mimba itatoka
mungu amjalie ajifungue salama kma ni ukweli ila kma ni comedy zke mungu hataniwiTime will tell
Kuna kajiuzi kamepita muda mfupi tu hapa asili yake ni insta. naona kame nyofolewa ila Mwafulani ana jipigia Promo sikuhizi ana jitapisha matembele na visamvu mbele za watu binti ana vituko huyu mimi hata ajinyee si amini kama mjamzito.Naona wamepania kutumia watoto kutengeneza pesa. Kwanini wafanye mimba ni kitu cha ajabu. Tanzania kuna watu mamilioni ambao wote wamezaliwa na wanawake. Wangeichukulia mimba jinsi wanavyofanya hao mabinti sijui kama hii nchi ingekalika. Mimba kutoka ni kitu cha huzuni huna haja ya kushirikisha Tanzania nzima.
Roho mbaya haijengi mkuu muombee kheri mwenzio, unaandika utafikiri kakunyanganya buzi bhana aaaahhhh!!
Wengi inatupa shida kuamini. Acha tuone!Kuna kajiuzi kamepita muda mfupi tu hapa asili yake ni insta. naona kame nyofolewa ila Mwafulani ana jipigia Promo sikuhizi ana jitapisha matembele na visamvu mbele za watu binti ana vituko huyu mimi hata ajinyee si amini kama mjamzito.
Wema anadorishia mimba!mungu amjalie ajifungue salama kma ni ukweli ila kma ni comedy zke mungu hataniwi
Sema mwenzanguRoho mbaya Mimi kwake ya nini? Wanaanzaga wenyewe na wanamaliza wenyewe kama hivi. Nasubiri mwisho wa drama na popcon zangu pembeni natafuna taratiibu na juice pembeni maana mwisho wa kajala tumeshausikia utasema ni mimba ya kwanza hivyo hajui dawa gani inampasa kunywa.nausubiri mwisho wa mama ubaya.
Comedy zilikua zamani sasa hivi kabaki kutafuta kiki za kitoto.....sasa kma hana mimba ndio atajimaliza kabisa n wa2 watamsahauWema anadorishia mimba!