Mimba ya ajabu - Mtoto akulia kwenye utumbo

Kwanini hawakumfanyia ultrasound huyo mama? Huu ni uzembe usiokubalika hata kidogo!!! Pia nadhani na wakina mama wajawazito wawe makini wanavyoenda clinics, sio kila clinic ni clinic!!! Unatakiwa kuangaliwa hasa ili kuwa katika hali nzuri na salama wakati wote!!

Pole sana kaka kwa kupoteza mkeo.
 
...mpaka mwili umesikia baridi baada ya kusoma taarifa hii. Mambo kama haya yanatuogopesha wengine ambao bado...Mungu apitishe mbali. RIP mama mtoto
 
May she RIP.

Jamani hii ectopic pregnancy navyojua huwa inagundulika mapema kwa scan na mara nyingi kama sio wakati wote huwa inauliwa ili kuokoa maisha ya Mama.

Sasa inamaana huyu mama skwenda hospitali hadi hiyo siku? maumivu hakusikia?

inasikitisha sana ila hiyo njia ni utumbo au tube ya kutopitia yai?

Naomba mtuelimishe zaidi.

Ila kwanini walimwachia atoke damu hivyo, lazima walikosea kitu wanajisifu kwa kutoa mtoto alive, sad doctors this is sad. kwa nini hamkufunga sehemu mlizokata kuzuia damu au kumtoa kizazi?

haya madaktari semeni?
 
mimi bado nina mashaka na taarifa ya huyu mwandishi au daktari.kama mimba ilikuwa NDANI ya utumbo basi nilitegemea huyu mama angeweza kukosa choo kikubwa!kwani kiumbe hiki kingezuia mfumo wa upitaji wa chakula na hivyo kadri mimba inavyokua ningetarajia mama huyu aonyeshe dalili za mtu anayeshindwa kutoa haja kubwa na hatimaye utumbo ungepasuka na hapa dalili za utumbo kupasuka au kutoboka zingelitokea na kufanya tatizo lake ligundulike.sasa kama kweli hili linalosemwa ni sahihi basi litakuwa ni jambo la ajabu kwa kiwango cha kupitiliza.
Mashaka mengine yanakuja ni kwa jinsi gani yayi lililorutubishwa liliweza kupenya mpaka ndani ya utumbo bila kupasua/kutoboa utumbo wa mama kitu ambacho kingeleta madhara kwa mama.
tuamini huyu mama aliingiziwa yai lililorutubishwa kupitia mdomoni?ngoja nitafute maandiko juu ya jambo hili au wataalamu wa mambo ya afya waje kutuelezea zaidi...
 
X-Ray kwa wajawazito?????????????????, hii bado sikia kabisa tangu nazaliwa


Dero@sio xray ni Ultrasound

Wanajamii forums, mimi binafsi huwa napenda sana kutumia lugha rahisi na nyepesi sana kwa maana kwamba si wasomaji wote ni wajuzi wa kila kitu, ila tunaweka neno ambalo wengi ni rahisi kufahamu maana yake na hivyo kila mmoja aelewe maudhui ya topic inayojadiliwa. Kama tunataka mambo ya kitaalamu basi tupekeke kwenye jukwaa la sayansi huko ndiko kwenye kujadili kinoga ubaga kadiri ya mfumo wa maneno ya kisayansi na maana yake.

Haya maneno matatu
X-ray, Ultrasound na Scan ni kwa ajili ya kutoa kitu kile kile taswira ya maungo ya mwili wa binadamu au sehemu ya viungo vyake inavyokusudiwa na doctor katika nyanja za medication, kwa njia mbalimbali na kadiri ya tahadhari ya kitabibu. Hapo juu nimejaribu kuleta maana ya maneno yanayojadiliwa na maana yake pamoja na taswira zake. Utaona yote ni kitu kile kile image ila ni kwa njia tofauti kutokana na mabadiliko ya tekinolojia inavyozidi kupanuka, lakini msingi ni X-ray.

Ukienda kuchukua mafunzo ya X-ray maana yake utajifunza njia mbalimbali za kuchukua image ikiwa ni pamoja na kupitia X-ray kwa jumla, ultrasound, nk.

Hapa hatupo kwa ajili ya kuonyeshana ujuzi ila kupashana habari na kwa njia hiyo ni vema tukatumia lugha ambayo ni rahisi kueleweka kwa wengi. Ukiandika kitaaluma zaidi maana yake unajipasha habari mwenyewe bila kuangalia walengwa.

X-ray




X-rays are a form of electromagnetic radiation, just like visible light. In a health care setting, a machines sends individual x-ray particles through the body. A computer or special film is used to record the images that are created.
Structures that are dense (such as bone) will block most of the x-ray particles, and will appear white. Metal and contrast media (special dye used to highlight areas of the body) will also appear white. Structures containing air will be black, and muscle, fat, and fluid will appear as shades of gray.


hannah2.jpg
filling.jpg
hand.gif


What is an ultrasound?

Ultrasound produces sound waves that are beamed into the body causing return echoes that are recorded to "visualize" structures beneath the skin. The ability to measure different echoes reflected from a variety of tissues allows a shadow picture to be constructed. The technology is especially accurate at seeing the interface between solid and fluid filled spaces. These are actually the same principles that allow SONAR on boats to see the bottom of the ocean.

tn-stages-of-pregnancy.jpg
tn-osteoarthritis.jpg
220px-Baby_in_ultrasound.jpg
220px-Bundesarchiv_Bild_183-1990-0417-001%2C_Leipzig%2C_Universitätsklinik%2C_Untersuchung.jpg


Scan
Scan for Medical imaging is the technique and process used to create images of the human body(or parts and function thereof) for clinical purposes (medical procedures seeking to reveal,diagnose or examine disease) or medical science (including the study of normal anatomyand physiology). Although imaging of removed organs and tissues can be performed for medical reasons, such procedures are not usually referred to as medical imaging, but rather are a part of pathology.

Z
images
images
 
Candid acha kujitetea ****** eti urahisi
X-ray ni hatari mtu akiwa na mimba,

ultrasound kama urahisi si ungesema scan

ubishi unataka danganya watu waue watoto wao eti x-ray na mimba. kalale mbele hata ukicopy paste acha ubishi.
 
Candid acha kujitetea ****** eti urahisi
X-ray ni hatari mtu akiwa na mimba,

ultrasound kama urahisi si ungesema scan

ubishi unataka danganya watu waue watoto wao eti x-ray na mimba. kalale mbele hata ukicopy paste acha ubishi.

Mimi nimekuja kufahamu zaidi tofauti hizi nilipokuwa wakati nipo chuo, vinginevyo nilielewa kila kianchofanyika ni X-ray. Na si wote waendao vyuo hujifunza mambo haya inategemea unachukua mkondo gani. Labda mfumo wa vyuo vikuu vya Marekani lazima mtu upitie kozi aina zote hat kama huko katika field hiyo ili kukujengea upana wa uelewa. Vinginevyo tusidanganyane wajameni. Doctor ndiye anayejua shida gani ya afya ya binadamu image yake ichukuliwa kwa X-ray, Scan au ultral sound. Vijijini ndo kabisaaaaaaaa. Tukubali ukweli huu kwamba si wote wanaojua tofauti hizi, ni wachache waliobahatika kuelimishwa maana ya vipimo hivyo na kila kipimo na athari zake kwa mwili wake.
 
Mimi nimekuja kufahamu zaidi tofauti hizi nilipokuwa wakati nipo chuo, vinginevyo nilielewa kila kianchofanyika ni X-ray. Na si wote waendao vyuo hujifunza mambo haya inategemea unachukua mkondo gani. Labda mfumo wa vyuo vikuu vya Marekani lazima mtu upitie kozi aina zote hat kama huko katika field hiyo ili kukujengea upana wa uelewa. Vinginevyo tusidanganyane wajameni. Doctor ndiye anayejua shida gani ya afya ya binadamu image yake ichukuliwa kwa X-ray, Scan au ultral sound. Vijijini ndo kabisaaaaaaaa. Tukubali ukweli huu kwamba si wote wanaojua tofauti hizi, ni wachache waliobahatika kuelimishwa maana ya vipimo hivyo na kila kipimo na athari zake kwa mwili wake.

Sentenso ya mwisho sijakuelewa unaposema "..... si wote wanaojua tofauti hizi,......walioelimishwa ....juu ya athari zake..." unamaanisha wananchi,au ....
 
Back
Top Bottom