Tena kwa kawaida unaweza kufanya tendo hilo mpaka siku yenyewe ya kujifungua haina shida kabisa, ila mara nyingi unakuta afya za wenzetu huwa hazirihusu kwa sababu ya uchovu na wengine huwa hawapendi kuwaona waume zao. Lakini kama afya ni barabara acha wafurahie ili mtoto azaliwe katika amzingira ya furaha na upendo