Mpenzi wangu kaniambia nkishika mimba atanirudisha home mana ye hawezi ule usumbufu wa mama mjamzito. Nimeishiwa pozi hapa nataka nimuache kimya kimya,si kwa unyanyapaa huo.
NB: Hakuniambia direct ila katika kupiga story kuhusu mambo wanayofanya wajawazito ndo akasema hivyo "kwa kweli nawe ukileta hayo mambo ya ajabu nakurudisha tu kwenu ukijifungua ndo nakuchukua"
Kwahiyo raha tule wote shida ukawape wazazi wangu, heri niwe na mwanaume malaya lakini akifika home ananijali na anajua wajibu wake kama baba.
Sometimes the little things we do matter a lot, sio hela tu au kutiana tu.
Just saying!