Wanajamvi habarini na kheri ya mwaka mpya.
Kama baada ya mwez akanambia ana ujauzito wangu. Kumwambia atoe nikaogopa basi nikamuacha hadi last week akajifungua. Binti anataka nimuoe kiukweli mimi sikua na mpango nae hata kidogo. Na kipindi chote cha mimba nilimwambia kwel kua mi sina future nae but nilikua namsapoti kwa kila stage hadi anajifungua.
Changamoto ni kwamba mi naishi Dodoma kikazi na mchumba wangu Ambae niko serious nae yuko Dar.
Naombeni experience kwenye hii issue
๐ค๐ค Aise...Kumwambia atoe nikaogopa basi nikamuacha hadi last week akajifungua
Baada ya mwezi baada ya kukutana bro soma vizur, tulikutana mwanzoni mwa mwaka janaMimba inachukua 9 months sasa ww unasema "baada ya mwezi then last week akajifungua" seriously???
Nimerudia lakini bado sijakuelewa au nirudi kula karoti๐ฅ?Baada ya mwezi baada ya kukutana bro soma vizur, tulikutana mwanzoni mwa mwaka jana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una mchumba serious na bado unajaza mimba wengine? Hamna kinga? Muoe mtoto wa watu mlee kachanga chenu
Kama ndezi panya๐๐๐๐Mimba inachukua 9 months sasa ww unasema "baada ya mwezi then last week akajifungua" seriously???
Duh umeongea ukweli sana mama.Kila siku mnatukana single mama hapa ndani. Ukweli single mama hawaibuki tu from no where, ni zao la wanaume wabinafsi na makatili kama wewe.
Unakwenda kuharibu future ya binti wa watu. Kaa chini imagine huyo binti angekuwa mwanao au Dada yako, ni maumivu gani ungepitia kuona anatendewa haya.
Hakuna wa kukulazimisha kumuoa huyo binti, ila kaa ukijua, na lala ukitambua umeharibu future yake.
USHAURI
1. Wazazi, tutumie muda wetu kuongea na mabint zetu kuwaeleza ukweli juu ya madhara ya kubeba mimba kabla ya ndoa.
2. Mabinti, jitambueni. Vishawishi vipo, ila tumieni akili.
3. Wanaume, kama hauna future na mtoto wa mtu usimuharibie maisha yake. Karma ipo.
*nikiwa kama mama niliye na binti, nimeumia kama huyu binti ni wangu.
Na huyo binti kama anajali future yake kwa nini agawe hiyo Mbususu?Kila siku mnatukana single mama hapa ndani. Ukweli single mama hawaibuki tu from no where, ni zao la wanaume wabinafsi na makatili kama wewe.
Unakwenda kuharibu future ya binti wa watu. Kaa chini imagine huyo binti angekuwa mwanao au Dada yako, ni maumivu gani ungepitia kuona anatendewa haya.
Hakuna wa kukulazimisha kumuoa huyo binti, ila kaa ukijua, na lala ukitambua umeharibu future yake.
USHAURI
1. Wazazi, tutumie muda wetu kuongea na mabint zetu kuwaeleza ukweli juu ya madhara ya kubeba mimba kabla ya ndoa.
2. Mabinti, jitambueni. Vishawishi vipo, ila tumieni akili.
3. Wanaume, kama hauna future na mtoto wa mtu usimuharibie maisha yake. Karma ipo.
*nikiwa kama mama niliye na binti, nimeumia kama huyu binti ni wangu.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Hapo ndo alipofeli anabebaje mimba kizembe hivo na ushamwambia wee ni kuteleza tu????
Pole yake
Yako naitaka leokeshoTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...