Mimba imeingia majuzi, nifanyaje?

Sikuwah kudhani siku moja nitamruhusu mdada atoe mimba yangu
Mpk pale nilipompa mke wa mtu mimba, alikunywa miso mpk nikakoma .ilikuwa na 1 na siku 5 ila nilipata shida,
Nilitumia njia ya kuchomoa kawaida
 
Kumbe mkuu alikutaarifu kabisa.
Ukataka kuonyesha ubabe wa kumwaga nje.
Subiri mtoto huyo we jipange tu mkuu mambo ya kutoa toa hayo acha kufikiria kabisa. Usiweke usiwe na mawazo negative mkuu.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8]

Ndiyo maana nakupenda, na leo nataka nikutambulishe kwa , kaka yangu na babu yangu. Ili ukija kukutana nao huko heshima ufuate mkondo wake

Cc: Joseverest
Cc: Daby
 
hakuna namna subilini kulea mtoto wenu mautamu yaliwaponza
 
Asante kwa kutoa elimu hii
 
Hapo nakushauri jiandae kwa kununua nepi, mabeseni, na pesa za kulea uzazi tu. No way. Kumbuka kale kanyimbo ka mkenya kanakosema huenda, akawa rais, huenda akawa dkt; anachomuomba mpenzi wake asitoe mimba yake
 
fb trash..gerare hia mazafanta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu walilia wapate watot we unawaza kutoa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…