Mimba 8,000

Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,029
1,190
Jumla ya wanafunzi 8,000 nchini wanaacha shule kwa mwaka kutokana na KUPACHIKWA mimba,
Naibu waziri Ummy Mwalimu alieleza hayo ktk maadhimisho ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto wilayani Kahama.
Source-Habari Leo).
SWALI" Je wahusika wa mimba hizi hawajulikani?
 
mmh hiyo ni hataree inabidi semina elekezi itolewe kuanzia darasa la kwanza mpaka vyuo vikuu namna ya kuzuia mimba ikiambatana na matumizi sahihi ya kondomu.Hizi tabia za kuoneana aibu ndio zimetufikisha hapa tulipo.
 
Endapo hali hii isipodhibitiwa kwa miaka mitano ijayo hali itakuaje?
8000 mara 5=40,000
40,000 hawa wengi wao watakuja kua watoto wa mitaani.
TUNAANDAA TAIFA LA AINA GANI?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom