Miloud Hamdi atemwa Ismaly, Yanga ndio nafasi pekee ya kumrudisha ndio hii

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,748
Reaction score
28,138
I salute you kinsmen
Tayari miloud kashatimuliwa

Tuache kuzunguka bure huyu alikuwepo yanga majuzi tu hakuna haja ya kumrudisha tu maana sidhani kama bado anasahau team yetu maana alikuwepo juzi tu

Makocha wa kiarabu huwa ni makocha wazuri sana kama huyu bwana

Hakuna haja ya kuhangaika huyu bwana arudi tu.

1760898065766.jpg
 
Akija hatopata shida ya kuanza upya kaka makocha wengine huyu tayari ni mwanetu kabisa tukumbuke alikujaga kati kati ya msimu na bado akafanya vizuri tu

Kimataifa tunamuhitaji huyu mtu experienced man na anajua kutumia rasiliamali zilizopo kikamilifu
 
Kwa umuch know wa Hersi utashangaa anaenda kumuokota Eminem mwingine huko duniani wa kuja kuwafanyia majaribio wachezaji ambao tayari wanajua majukumu yao wawapo uwanjani!

Huyu Mwamba aliimudu timu ndani ya muda mfupi sana. Angerudishwa, mashabiki tungepata utulivu wa nafsi.
 
Kocha alipata ofa nzuri zaidi. Bado hatuna msuli wa fedha kwenda sambamba na timu za waarabu
Hivi kati ya Yanga na Ismaily ni nani mwenye msuli wa ushawishi kwasasa? Ismaily inayopambana isishuke daraja iweze kuizidi Yanga iliyojijenga kwa kugombea mataji ya ndani na huku ikiwa na uhakika wa kucheza klabu bingwa Africa ndio ishindwe na Ismaily iliyojichokea? Wangekuwa na pesa ya ku battle au project ya maana kama Yanga basi tungeona wamefanya usajili mkubwa wa wachezaji lakini hakuna. Viongozi waliishi kwa mazoea kuwa, ujeuri na kuamini kuwa tutapata kocha mzuri kuliko Miloud hivyo hawakuona ulazima wa kumbakisha.
 
Kuna makocha ambao wao ndio wanakuwa wametaka kuondoka (mfano Miloud, Nabi na Fadlu wa makolo) huwezi kuwalazimisha wabaki. Halafu kuna wale wanakuwa wametimuliwa (mfano Gamondi na FOIL). Mimi nafiiri ni bora kumrudisha uliyemtimua kuliko aliyejiamulia kuondoka na kukuacha solemba.
 
Miloud mwenyewe alishasema kuwa aliona nia ya wazi ya viongozi kuwa hawamuhitaji.
 
Hivi kati ya Yanga na Ismaily ni nani mwenye msuli wa ushawishi kwasasa? Ismaily inayopambana isishuke daraja iweze kuizidi Yanga iliyojijenga kwa kugombea mataji ya ndani na huku ikiwa na uhakika wa kucheza klabu bingwa Africa ndio ishindwe na Ismaily iliyojichokea? Wangekuwa na pesa ya ku battle au project ya maana kama Yanga basi tungeona wamefanya usajili mkubwa wa wachezaji lakini hakuna. Viongozi waliishi kwa mazoea kuwa, ujeuri na kuamini kuwa tutapata kocha mzuri kuliko Miloud hivyo hawakuona ulazima wa kumbakisha.
Kocha anaweza kuangalia masilahi yake pia.
 
Kuna makocha ambao wao ndio wanakuwa wametaka kuondoka (mfano Miloud, Nabi na Fadlu wa makolo) huwezi kuwalazimisha wabaki. Halafu kuna wale wanakuwa wametimuliwa (mfano Gamondi na FOIL). Mimi nafiiri ni bora kumrudisha uliyemtimua kuliko aliyejiamulia kuondoka na kukuacha solemba.
Hapana Mkuu kocha ulie mfukuza kumfuata tena nikama mwanamke ulie shindana nae kwa tabia yake mbaya alafu unaanza kumhitaji lazima awe na nyodo
 
Kocha anaweza kuangalia masilahi yake pia.
Mkuu hoja yangu ni kwamba viongozi hawakuona umuhimu wake ndio maana hawakufikiria kukaa nae mezani ili wamboreshee maslahi yake. Kama waliwaza kubakia na wachezaji wao muhimu kwa namna yeyote ile, je imeshindikana nini kumbakiza mwalimu aliyewapa mataji na matokeo mazuri kwa kipindi kifupi mno? Kwasasa Ismaily haina uwezo kiuchumi, kuipiku Yanga.
 
Back
Top Bottom