RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,877 Reaction score 5,446 Aug 23, 2013 #1 HELLO MMU Bado dakika kama kumi hivi ufunge ndoa.. Mara upata ujumbe wa dili la million 500.. vipi utafunga ndoa au utafuata dili . KARIBUNI WANAUME VS WANAWAKE KWENYE HILI
HELLO MMU Bado dakika kama kumi hivi ufunge ndoa.. Mara upata ujumbe wa dili la million 500.. vipi utafunga ndoa au utafuata dili . KARIBUNI WANAUME VS WANAWAKE KWENYE HILI
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,361 Aug 23, 2013 #2 Hayo mambo ya assumption ni upuuzi. Naolewa au naoa kama ni pesa yatakuja madili mengine.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,355 Reaction score 111,637 Aug 23, 2013 #3 Ukiona mtu anapata dili la fweza yote hiyo ujue sio maskini...kwake dili zipo kila leo, hivyo shughuli ya ndoa itaendelea kama kawaida... NB: Ila haka kasredi leo katatujulisha kina nani ni Wachagga humu au wana damu za Kichagga :becky:
Ukiona mtu anapata dili la fweza yote hiyo ujue sio maskini...kwake dili zipo kila leo, hivyo shughuli ya ndoa itaendelea kama kawaida... NB: Ila haka kasredi leo katatujulisha kina nani ni Wachagga humu au wana damu za Kichagga :becky:
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Aug 23, 2013 #4 we can only IMAGINE but the chance of that thing happening is very rarely!!!!!!!!
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Aug 23, 2013 #5 Hivi vitabu vingne vya kufikirika aaagh!
Mseti2007 JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 493 Reaction score 175 Aug 23, 2013 #6 Its just an imagination,but if that at all happens,without hestation i would fetch the money first.
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 Aug 23, 2013 #7 ^^ Utopian socialism ^^
Blaine JF-Expert Member Joined Jan 11, 2012 Posts 2,259 Reaction score 1,657 Aug 23, 2013 #8 watu8 said: Ukiona mtu anapata dili la fweza yote hiyo ujue sio maskini...kwake dili zipo kila leo, hivyo shughuli ya ndoa itaendelea kama kawaida... NB: Ila haka kasredi leo katatujulisha kina nani ni Wachagga humu au wana damu za Kichagga :becky: Click to expand... mie namwambia best man aweke sahihi yangu kwenye cheti. chezeya 500m wewe
watu8 said: Ukiona mtu anapata dili la fweza yote hiyo ujue sio maskini...kwake dili zipo kila leo, hivyo shughuli ya ndoa itaendelea kama kawaida... NB: Ila haka kasredi leo katatujulisha kina nani ni Wachagga humu au wana damu za Kichagga :becky: Click to expand... mie namwambia best man aweke sahihi yangu kwenye cheti. chezeya 500m wewe
carter JF-Expert Member Joined Jan 23, 2009 Posts 3,664 Reaction score 4,274 Aug 23, 2013 #9 Munkari said: Hivi vitabu vingne vya kufikirika aaagh! Click to expand... Hizi ni story za kwenye vijiwe vya KAYA! Hapo kila mtu yuko hewani kama wanamabawa vile!
Munkari said: Hivi vitabu vingne vya kufikirika aaagh! Click to expand... Hizi ni story za kwenye vijiwe vya KAYA! Hapo kila mtu yuko hewani kama wanamabawa vile!
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,336 Aug 23, 2013 #10 kusadikika