Million 1000 kwa kinondoni pekee

Million 1000 kwa kinondoni pekee

seanhenrick

New Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
3
Reaction score
3
Hivi inaashilia nini kufanya uchaguzi kwa gharama kubwa wakati watoto wa shule hawana mahala pa kusomea namaanisha majengo ya madarasa nakadhalika
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu kuchagua ni kupanga! Wenzetu wa Kenya wanawekeza kwenye satellites na Elimu ya anga za juu sisi tumewekeza kwenye uchaguzi!
 
Back
Top Bottom