Millenium Tower ipo Wapi?

Iko pale pale Millenium tower ilipo...
 
Hahahahahaha...
Ndugu kuna shida ya muhmu sana...
Kumbukumbu zangu zinanambia maeneo ya kijitonyama bt am not sure
 
Ni PM tufanye biashara. Nimeona na sitaki kupitwa na fursa hii
 
ipo pale pale millennium tower
 
wewe umejiunga lini na JF? ndo unajifunza kupostie? kichwa cha uzi wako umeandika Ona hapa usije ukapitwa! ukifungua kichwa cha uzi wako, ndani unakutana na "jamani Millenium Tower iko wapi? ndo nini sasa? na ulivyo andika ona hapa usije ukapitwa ndo nimeona nini sasa? vijana wengine bna, sijui ua mna usingizi mnapo post au?
 
Msaidieni mwenzenu, asipouliza hapa aulize wapi, ika ilo eneo kama maarufu waweza google kwenye map tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…