Millard Ayo Unayumba

Wknd vibes😊😊😊.pacha ako ana rangi tamu jaman..serious wanangu nitawaftia wakweπŸ˜…πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
hakika hiii wk end aseee...sema kuburudka peke ako town watu tumekaukiana mdomo sio vzur kabisaaa
 
Ukwli ni kwamba mazingira ya utendaji kazi kwa sasa ni magumu tutamlaumu bure...
 
Fungua media house yako upost unachotaka mkuu. Usimpangie sababu wakati anaanza hukumchangua hata 500 so huwezi mpangia apost nini
Ila kunasheria anatakiwa azifuate
 
Muache ayumbe tu maana zama hizi kila mmoja anayumbia kule ugali wake ulipo!
 
Mkuu kwahiyo marlaw anachoma mahindi kipindi hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…