Millard Ayo Blog imepata kwikwi?

Aliripoti ishu za makanikia!??

Ishu za Bashite je!??
 
Salaam kwako mtu wa nguvu! Inawezekana kwenye saa kadhaa zilizopita umepata tatizo kuingia na kupata taarifa kupitia
millardayo.com, ni kuombe radhi kama umekutana na usumbufu wowote…. naendelea kulifanyia
kazi tatizo hili ili tuendelee na
utararibu wetu wa kawaida. Wakati una subiria millardayo.com
kurudi kwenye mstari, naomba ujiunge na mimi kwenye mitandao
ya kijamii kama Facebook, Twitter, Instagram na Youtube kote huko kwa jina hilohilo la ‘millardayo‘ ambako naendelea na utoaji wa taarifa kama
kawaida.

Source: Ayo
 
Watu wengi ni wanafiki sana,
hata clouds wengi wanajifanya wanaiponda na kutoiskiliza,...
Hata Tbc watu wanajifanya wanaiponda na kutokoiskiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…