Millard Ayo Blog imepata kwikwi?

Haijawa hacked, ni uzembe wake kutokuweka kumbukumbu.... Naninawezekana ameacha kubackup siku za karibuni....
 
ni kweli mkuu asubuh ya leo nilitaka kusoma vichwa vya habari nashangaa inaleta taarfa za tar 11 mwez huu
 
labda yeye ndo kila kitu ... haya mambo mengine yanahitaji team kabambe ya ku assist 24hrs.

au alikuwa anafanya mazoezi.. hope kama sever yake ipo powa mambo yatakuwa kama inavyotakiwa
 
Nimeingia kusoma magazeti napata ya 15 may 2017
nikipata shida nkasepa
 
yaani nimechukia ile mbaya nafungua magazeti nakuta habari ya ajali ya lucky Vicent nikajiuliza jamaa katoa kafara tena ?
 
MITANDAO YA KISHILAWADU HIYO HAINA MBAYA HATA IKIDUKULIWA WATAKACHOAMBULIA NI UMBEA
 
Reactions: SDG
isije ikawa ina uhusiano na mambo ya akashia yanayoendelea
 
Anatafuta Noah yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…