Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
nawashangaa utadhani anawagegeda wao tena ni wanaume kabisa.wamchangie alipe huo mkopo kwanza
angekua daimond au alyy kiba hapoo!nawashangaa utadhani anawagegeda wao tena ni wanaume kabisa.wamchangie alipe huo mkopo kwanza
angekua daimond au alyy kiba hapoo!Mi wasanii hawa hata hawasingiziwi wala kuchafuliwa95%huyo Dada yuko sahihi!Mi nawajua hawa! Kuna mmoja alinichunia mwaka mzima hadi siku amenikuta kitengoni akawa hana namna! KISA?Huwezi hata amini...
Siku hizi akina sie ukijaribu kupigania maslahi yako dhidi ya super celebrity watu wanakuambia unatafuta kiki...Mi wasanii hawa hata hawasingiziwi wala kuchafuliwa95%huyo Dada yuko sahihi!
Yaani wabongo tunadouble standards sana!!
Tunahukumu watu kwa macho!!au physically appearance!!
Watajiju
Sasa hizo huduma mnazotoa huyu zuu_bebe zitamsaidiaje kupata stahili yake kutoka kwa Millard Ayo?TUNATOA HUDUMA ZA GPS CAR TRACKING SYSTEM, HD CCTV CAMERAS, FINGER PRINT ATTENDANCE SYSTEM, ELECTRIC FENCE&NETWORKING SOLUTION KWA BEI NAFUU KABISA. CONTACT US: 0743000027
Sasa hizo huduma mnazotoa huyu zuu_bebe zitamsaidiaje kupata stahili yake kutoka kwa Millard Ayo?

....ahahahahha bhahahhahhaa eti imoooo m2 wangu wa nguvu bhahahhahhaaaa....Imoooooooooooo mtu wangu wa nguvu
Mmmmmh inawezekanaAisee! Instagram community! Lakini kwanini tunamuona huyo dada muongo? Kwamba Millard Ayo hawezi kupiga mechi za mchangani; au?! Mechi hizi hizi ambazo zinapigwa na Masheikh, Maaskofu, Mawaziri na wengine kibao zionekane haiwezekani kwa Millard? Au hawezi kutoa advance kisha akaingia mitini?!