Tetesi: Millard Ayo Aacha kazi CloudsFM

Status
Not open for further replies.
Pale clouds inaonesha pana maslahi kiasi cha mtu kupanga malengo na yakatimia.
Nimeona akina Dj Feti wana bonge la duka jirani na Robi wani fasheni kinondoni.
Sasa swali ninalojiuliza, mkojozaji Gadna hela anapeleka wapi ukizingatia amefanya kazi kwa zaidi ya miaka kumi huku akishindwa kumiliki hata maiki? Millard Ayo ni kama mtoto wake lakini kuna siku atafanya kazi kwake tu manake kuna siku niliona picha kashikilia maiki ya ayo tv kwa mbwewe zote..
 
Haahahaha haya ndo mambo aliyokutana nayo mondi kule BET,eti akazani yeye ni staa kwa afrika nzima kumbe wanaoujua mziki wanajua jamaa bado Sana kwani wingi wa kelele za afrika mashariki sio ubora wa msanii,sasa Huyo Millard Ayo anapewa Sifa Sana lakin style zote za utangazaji anaiga mbele,anamuiga Ryan secrest na Ramero Torres mpaka kero aisee,sasa nyie msiojua ndo kelele mkizani jamaa anaswag za kipekee kumbe mwenzenu anakopi na kupesti tu,marekani kuna watu wanajua kutangaza acheni aisee,Huyo Millard labda apewe shavu na mbongo anayeishi kule amtangazie udaku ghetoni kwake...hahaha
Una roho ya Kimaskini sana we Jamaa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom