Tetesi: Millard Ayo Aacha kazi CloudsFM

Status
Not open for further replies.
Wivu Ni kidonda ukishiriki.............nda! Kwani nikiiga Kama anavyocheza mess Kuna ubaya gani? Si ndo ntakua bora
 
Nasikia MillardAyo ameacha kazi Clouds FM na kapata mchongo huko Marekani

1.Amplifire hatangazi tena
2.Top20 hatangazi tena
3.Hajajihusisha hata kidogo na FIESTA kwa Website yake,FB wala Instagram
4.Istagram yake ametoa ile clouds meadia groo kaweka Broklyn, NewYork

Jee ni kweli hiii....
Uongo hamna kitu km icho na top 20 anatangaza mamy baby kitambo
 
Haahahaha haya ndo mambo aliyokutana nayo mondi kule BET,eti akazani yeye ni staa kwa afrika nzima kumbe wanaoujua mziki wanajua jamaa bado Sana kwani wingi wa kelele za afrika mashariki sio ubora wa msanii,sasa Huyo Millard Ayo anapewa Sifa Sana lakin style zote za utangazaji anaiga mbele,anamuiga Ryan secrest na Ramero Torres mpaka kero aisee,sasa nyie msiojua ndo kelele mkizani jamaa anaswag za kipekee kumbe mwenzenu anakopi na kupesti tu,marekani kuna watu wanajua kutangaza acheni aisee,Huyo Millard labda apewe shavu na mbongo anayeishi kule amtangazie udaku ghetoni kwake...hahaha
Haters utawajua tu na mapovu yao Millard yuko juu miaka mia tuondolee chuki zako binafs hapa
 
Mondi sawa kakupigia demu wako hiyo inajulikana, je huyo kijana amekufanya nini hadi umchukie? Jamaa una roho mbaya hata kwenye mtandao! Duh!
Ana roho mbaya Sana na wivu usokuwa na msingi kuna watu wa kuwachukia lakin sio kwa Millard jaman, kwa lipi? Yule mkaka wa watu mstaarabu tu
 
Kama maslahi mazuri sioni tatizo kila mtu anatafuta penye maslahi mazuri.
 
Haahahaha haya ndo mambo aliyokutana nayo mondi kule BET,eti akazani yeye ni staa kwa afrika nzima kumbe wanaoujua mziki wanajua jamaa bado Sana kwani wingi wa kelele za afrika mashariki sio ubora wa msanii,sasa Huyo Millard Ayo anapewa Sifa Sana lakin style zote za utangazaji anaiga mbele,anamuiga Ryan secrest na Ramero Torres mpaka kero aisee,sasa nyie msiojua ndo kelele mkizani jamaa anaswag za kipekee kumbe mwenzenu anakopi na kupesti tu,marekani kuna watu wanajua kutangaza acheni aisee,Huyo Millard labda apewe shavu na mbongo anayeishi kule amtangazie udaku ghetoni kwake...hahaha
wachawi wako wengi sana...
 
Nasikia MillardAyo ameacha kazi Clouds FM na kapata mchongo huko Marekani

1.Amplifire hatangazi tena
2.Top20 hatangazi tena
3.Hajajihusisha hata kidogo na FIESTA kwa Website yake,FB wala Instagram
4.Istagram yake ametoa ile clouds meadia groo kaweka Broklyn, NewYork

Jee ni kweli hiii....
Your key argument here is Brooklyn name kwenye capture ya Millard.

Pale kwenye picture captured area panaweza kuwa popote pale endapo utaiupload direct kwenye wall yako au ukitake a photo direct from your instagram app itaweka location name where the photo taken.

Naona hapo ndipo pamekuchanganya sio kama yeye ndio ameandika Brooklyn bali imejiandika automatically sababu ndipo capture location.
 
Nasikia MillardAyo ameacha kazi Clouds FM na kapata mchongo huko Marekani

1.Amplifire hatangazi tena
2.Top20 hatangazi tena
3.Hajajihusisha hata kidogo na FIESTA kwa Website yake,FB wala Instagram
4.Istagram yake ametoa ile clouds meadia groo kaweka Broklyn, NewYork

Jee ni kweli hiii....
dougie masta wa insta naona umehamia huku
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom