TZ yetu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 375
- 198
KizunguMukuti, kumbuka neno "role model" kwa hiyo sio mbaya Millard Ayo kuiga ilimradi hafanyi sawasawa na kina Ryan secrest.Haahahaha haya ndo mambo aliyokutana nayo mondi kule BET,eti akazani yeye ni staa kwa afrika nzima kumbe wanaoujua mziki wanajua jamaa bado Sana kwani wingi wa kelele za afrika mashariki sio ubora wa msanii,sasa Huyo Millard Ayo anapewa Sifa Sana lakin style zote za utangazaji anaiga mbele,anamuiga Ryan secrest na Ramero Torres mpaka kero aisee,sasa nyie msiojua ndo kelele mkizani jamaa anaswag za kipekee kumbe mwenzenu anakopi na kupesti tu,marekani kuna watu wanajua kutangaza acheni aisee,Huyo Millard labda apewe shavu na mbongo anayeishi kule amtangazie udaku ghetoni kwake...hahaha