Langeni Eric
Member
- Jun 27, 2014
- 8
- 2
Vitendo Vya Ugaidi Vinavyoendelea Humu Nchini Sasa Vimeanza Kutupa Wasiwasi. Hari Ilianza Kama Utani Kwa Bomu Lilorushwa Kanisa Katoriki Arusha,mkutano Wa Cdm Na Kuendelea Mpaka Sasa Ni Wa 6.Kule Z'bar Watu Kumwagiwa Tindikali Hakuishi.
Hali Hii Inamaanisha Nini? Kwa Kawaida Kuna Kitengo Cha Usalama Wa Taifa Ni Kazi Kubaini Vitendo Hatarishi Kama Hivi Mapema,je,ina Maana Kitengo Hiki Hakina Uwezo Hivyo Kuzidiwa Ujanja Na Hao Magaidi?
Mbona Kinafanya Kazi Usiku Na Mchana Ya Kuua Upinzani Nchini, Mnawateka( Ulimboka,kibanda) Mlidhamilia Kuua,mnaedit Picha Kwa Lwakatare Kwa Lengo Kumbambikia Kesi Bila Ya Mafanikio.
Nashawishika Kuamini Kua CCM Chini Ya Mwigulu,wassira Na Lukuvi Hawa Ndiyo Wameivuruga TIS Yetu Kwa Kuipa Kazi Nyingi Za Kushughulikia Wapinzani Kuliko Kuangalia Usalama Wa Taifa, Damu Ya Watu Inayomwagika Iko Mikononi Mwenu, Sauti Za Vilio Vyao Zigonge Vichwani Mwenu Kila Sekunde.