Milipuko ya Ghafla Dar ni kwasababu ya Diwali

Milipuko ya Ghafla Dar ni kwasababu ya Diwali

Njolo lo

Member
Joined
Oct 10, 2014
Posts
28
Reaction score
1
Kwa wale mlioko morogoro mjin hizo risasi zinapigwa wapi nackia milio tu ya risac
 
Dah hata mimi hizo risasi nimezisikia..tupeni taarifa kwa wenye nazo jamani maana hata usingizi umegoma.
 
Ili kusherehekea sikukuu ya diwal vizuri. Wahindi wamewasihi wakubwa wa TANESCO Arusha wazime umeme ili fataki zao angani zionekane vizuri. Usidhani ni utani hii inatoka ndani kabisa ya TANESCO. Fedha kidogo tu imetumika. Hivyo msipige kelele saaanaaa.
 
Jamani Wahindi wanaweza ua mtu kwa Mshituko... Ghafla nimesikia Milipuko mikubwa na kunipa khofu na nilidhani ni Mabomu ya Mabagala tena ila Nimekumbuka Ni Sikukuu ya Baniani Diwali hulipua fataki na baruti usiku...

Naomba watakao isikia watulie... ni kawaida kila Mwaka Diwali niSikukuu ya Kutimiza Mwaka kwa Kalenda ya wahindu na Baniani
 
wadau nilikuwa najipanga nilale lakini nimepoteza hamu hiyo mpaka mtaponidhibitishia muungurumo naousikia unatoka wapi.Maana bado sijasahau yaa gongolamboto mwenye kujua anipe taarifa
 
Nipo maeneo ya buguruni nasikia sauti za milipuko. kuna yeyote mwenye taarifa za uhakika?
 
Msiwe na hofu hata huku dara kuna milipuko mizito wengi tulizani kuwa ni milipuko ya mabomu, lakini kunbe ni sherehe za wahindi wanaita Diwali nadhani hata Arusha tukio hili linaendelea kwa muujibu wa thread zilizofunguliwa hapa JF usiku huu
 
Back
Top Bottom