Niulize tuu Zimamoto zikienda kuzima moto sehemu nyumba inawaka nani anabeba zile gharama? Jibu la swali hili lilenge kutoa ushauri nani abebe gharama hizi za kumpeleka Mh. Mbowe Arusha
Ni dalili ya kuwa na ukungu kichwani kulinganisha gharama na jukumu la kuokoa mali na maisha ya watu na gharama za kujitakia kumbeba mtu aliyejisalimisha. Kabisa hakukuwa na haja ya kumbeba kama mhaini ambaye hata baada ya juhudi zote hizo baadaye shitaka lake linaishia mlangoni mahakamani. Umuhimu wa kumbeba Mbowe kwa tahadhari zote ulitokana na nini? Ebu linganishaeni viongozi wale wa Kenya waliendaje the Hague? Milosovic na mladic walipelekwaje the hague pamoja na kuwa hawa walikuwa ni watuhumiwa wa uhalifu na mauji ya halaiki ni katika msamiati raishi wa kimataifa ni watu hatari kwa usitawi wa jamii. Mbowe ni hatari kwa nani? Serikali ya Tanzania? Kwa Tanzania? kwa ccm? kwa jeshi la polisi? Mimi sijui, fanyeni mlivyofanya na mtakavyotaka, toeni majibu myatakayo, bishaneni mtakavyo lakini we know that you are naked, defenceless against intelectual eye, the more you argue the more we label you naive and silly
The rule of justice and i repeat again the rule of justice is coming tomorrow and it is covered and operating with a storm pressure that no force can stop it in this planet
Viva justice, viva revolution, viva CDM
Aluta Continua