Milioni 50 zatumika kumpeleka Arusha Freeman mbowe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Milioni 50 zatumika kumpeleka Arusha Freeman mbowe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by engmtolera, Jun 8, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Jf
  polisi waliohusika na shughuri ya kumsafirisha Mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe kutoka Dsm kwenda Arusha wanasema ni zaidi ya milioni 50 zilitumika kwa safari hiyo

  lakini pia kila wilaya kulikuwa na polisi waliowekwa tayari kupambana na wanachama wa chadema ambao wangeonekana kuleta fujo na polisi wote hao wamelipwa posho zao

  Pia yaliandaliwa magari yenye maji ya kuwasha na yote hayo yalijazwa mafutwa kwa pesa ya serikali

  hivyo basii polisi hao wanalalmika kwa nini pesa zote hizo zitumike kwa kumkamata mtu mmoja tu ilihali mpaka leo wao kama polisi wanadai malimbikizo ya mishahala yao na hawajalipwa mpaka leo

  kazi ipo jamani,tutafika kweli?
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Niulize tuu Zimamoto zikienda kuzima moto sehemu nyumba inawaka nani anabeba zile gharama? Jibu la swali hili lilenge kutoa ushauri nani abebe gharama hizi za kumpeleka Mh. Mbowe Arusha
   
 3. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Fafanua kidogo swali lako. Sijakuelewa uhusiano wake na suala la Mh. Mbowe.
   
 4. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  najibu kwa niaba ya jamaa hapo juu...
  Sawa tunakubali kua gharama za fire zinalipwa na serikali, lakini wat the last speaker meant is why use more than 50 million kumsafirisha mtu mmoja, tena aliyejipeleka polisi mwenyewe?? Why use a jwtz jet which can carry 100 people + 40 tons of cargo to carry 4 people???? Why use 8 police vehicles for escorting one single person?? Is he a mass murderer or just a person who didint turn up to court??..
  Our money is not properly used..
  And that is what the former speaker was saying,, he was not talking about where the money is coming from, but, how the money is being misused
   
 5. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wajionee wenyewe kwani walikuwa wahasikii wanayoambiwa.
   
 6. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kuhusu kutumia ndege ja JWTZ, nadhani ndege ikikaa muda mrefu bila kuruka "air safety" inakuwa ya mashaka. Huenda nyie mkawa mnaona kuwa wametumia gharama kurusha ndege lakini wao pengine walikuwa wanapasha ndege moto
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hizi ghalama zinatakiwa zibebwe na jeshi la polisi, na walikuwa sahihi kutokana na hadhi yake. Huwezi ukampakiza kwenye pick up mtu kama Mbowe ili kumfikisha mahakamani. Kwa hili siwalaumu Polisi.
   
 8. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata kama ingekua Milioni 100 lengo lilikua ni kuangalia usalama wa watanzania kwani kuna wajinga walikua wanajipanga kuandamana mitaani na kuleta fujo! Hivyo gharama ya maisha ya wajinga hao ingekua mbaya zaidi
   
 9. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hapa ndipo unaponichefua, Kupasha moto ndege ni suala la kiufundi ambalo linaendana na risk kubwa kwa hiyo Polisi waliona wapashe moto ndege huku kukiwa na Mbowe ndani yake.
   
 10. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  sawa, they took advantage kwamba ndege ilipashwa moto, according to u, nakubali.... Wat about the escort cars and police?? Nayo yalikua yanapashwa moto??
   
 11. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  50 Million kumpeleka Mh. Mbowe Arusha!!!!...... hii haina majasho kabisa:whistle::whistle::whistle::whistle:

  hayo ndio maisha bora tunayo hitaji.... mahospitalini madawa hakuna, watoto wetu wanakaa chini madawati hakuna madarasa utafikiri mabanda ya kufugia kuku, maji yanatafuta umbali mrefu, kilasiku maisha yanazidi kupanda ila kutumia 50 million kwa masaa 4 inawezekana!!!!

   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  kuna wanafunzi hawana madawati, wanasomea chini ya mti, wanasoma komputa kwa nadharia (SIPIYU) n.k .Hzo mil 50 kwa nini zsipelekwe huko??
   
 13. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,848
  Likes Received: 627
  Trophy Points: 280
  50m kumpeleka Mbowe Arusha. Haya kilichopatikana Mahakamani Arusha ni nini? Kwa faida ya nani? Thamani yake inalingana na 50m?
   
 14. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Magari yalitakiwa yamaliza Kilometer zake kabla ya 30 June 2011 ili fungu la matengenezo kwenye bajeti ya 2010/11 liweze kumalizika. Escort vile vile ni katika kumaliza mafungu ya bajeti ya 2010/11
   
 15. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Helicopter Expenses(Fuel) 4,650,000/=Go & Return
  Pilot and Co-pilot@ 300,000 1,200,000/=
  Helicopter staff(6pax) @100,000 1,200,000/=
  Police escort Dar-Ars(10Police)@50,000 askari waliopanda chopper 1,000,000/=
  Police escort Central to JNIA 8cars full tank @200,000 1,600,000/=
  Police escort Central to JNIA 8CARS@10Police staff@50,000 allowance 4,000,000/=
  Police escort Ars Airport to court 10cars full tank @200,000 2,000,000/=
  Police escort Central to JNIA 10CARS@10Police staff@50,000 allowance 5,000,000/=
  TISS allowances Dar 3,000,000/=
  TISS allowances Ars 3,000,000/=
  SUB TOTAL 26,650,000/=
  Uchakachuaji = Sub total 26,650,000/=
  Kimjini mjini for Riz1 and others= Uchakachuaji 26,650,000/=
  Time wasted,Depreciation of Assets(Choper and cars etc) 26,650,000/=
  GRAND TOTAL 106,600,000/=(Millioni Mia moja na sita Laki sita)

  JAMANI PESA HIZI ZINGENUNUA VITANDA DOUBLE DECKER 1,776(Kila kitandaTsh.60,000) KWA WANAFUNZI 3,550 KWA MABWENI YA SHULE ZETU ZA KATA.

  KARIBUNI TANZANIA KILA KITU KINAWEZEKANA ISIPOKUWA KUMSAIDIA MTANZANIA!
   
 16. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ngoja nienda Bar nikanywe ili nipunguze mawazo maana hii haingii akilini, hiyo pesa wangetafutwa vijana/wanawake kama 100 wakapewa mafunzo ya ujasiriamali na kila mmoja angepewa mkopo wa laki tano, si tungekuwa tumepiga hatua moja kuelekea maendeleo ya kweli?
   
 17. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #17
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hehehehehe
  hii ni hatari sana,kupasha ndege ama kuifanyia majaribio wakati kuna kiongozi mkubwa wa chama ndani ni kutaka kummaliza ama kutoa maisha yake,hiyo haikuwa sahihi kabisa

  ziko njia nyingi za kuipasha moto ndege lakini sio kwa mtindo huo

  Pia kama alivyosema mjumbe mmoja,hayo matumizi ya pesa ni makubwa sana,kulikuwa hakuna haja ya kumkamata Mh mbowe na kutumia kiasi kikubwa cha pesa namna hiyo,wakati kulikuwa kunauwezekano wa kumweleza kwa maneno kuwa anahitajika mahakamani na angekwenda mwenyewe hizo gharama sizingekuwepo
   
 18. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Sikio la kufa halisikii dawa. Nilipoteza binamu yangu kijijini baada ya kukosa huduma bora za afya. Naamini na wengine nao hivyo hivyo.
   
 19. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  nimeipenda hiyo breakdown,
   
 20. M'bongo

  M'bongo Senior Member

  #20
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Good! Umezipangilia vizuri sana.
   
Loading...