Umeweka angalizo kwa matapeli kabisa?Haina haraka kivile, mwenye nacho tufanye biashara
Maeneo ni ilazo, kisasa, yan kisizidi 5km toka town
Kiwe kimepimwa i mean cha serikali.
Niko serious
Ofa yangu ndo hyo fixed.
Tapeli usijisumbue mi ni mtata
Karibuni
Haina haraka kivile, mwenye nacho tufanye biashara
Maeneo ni ilazo, kisasa, yan kisizidi 5km toka town
Kiwe kimepimwa i mean cha serikali.
Niko serious
Ofa yangu ndo hyo fixed.
Tapeli usijisumbue mi ni mtata
Karibuni
Mkuu vipi kwa Nachingwea? Kipo km 5 toka mjini yaani center. Unapata kwa 4.8m.. Ni 25*30m.
Takutafuta mkuu
Si kiko poa....!!!!?
Maana mi ni mkorofi kwelikweli aisee
Teh teh teh teh,inferiority complex ipo mingi sana juu yako mkuu,kwa utafiti wang wa haraka haraka watu wa sampuli yako ndio huwa mnapigwa kiboya sana aisee,take care
Nani mimi
Nenda kaulize pori la bihalamulo, geita, na muesi tunduru au nenda central hapo uliza kubengo utaambiwa tu
Au we fanya uingie anga zangu
Utasimulia hapa
Hahaaaaaaaa,ngoja kama vipi niipitie hyo Milioni 5 yako ndio ujue kuwa mimi ni shababy au laaa,we unataja maporini huko wakati matapeli wote wako mjini wanakula raha tu,sasa hivi utaitwa Kolo mkuu, ngoja mkuu mrangi mzee wa mishen town aupate huu mchongo uone kazi, nakupa siku 2 tu utakuja humu na uzi wa kumtafuta mwizi wako
Kuna jamaa mmoja niliishi nae Monduli town akiwa anafanya kazi jeshini TMA
Jama alikuwa anajitangazia ubabe kinyama na kuwa ye mtoto wa mjini na mtata kuliko melezo
SIku wanaume wamemuacha kapotea njia kaingia cha kike kuacha kamera na kubeba kipande cha chupa kilichonakishiwa akidhani kipisi cha madini ilikuwa soo.....
....hahahaaa acha mchezo kuna watu mjini sio watata ila wanajua kucheza na akili za watu mbaya.......yaani pipo hazina physical strength lakini vichwani achana nao