Milioni 35 itakamilisha ujenzi wa nyumba yangu?

Inategemea na mbwembwe ktk umaliziaji ( finishing)

Unaweza hitaji weka madirisha, vyoo, milango, vitasa, makabati, Dari, tales, paa kwa matengenezo ya kisasa (gharama)

Mwingine anaweza weka hayo mahitaji kwa bei ya chini Sana au vingine asiweke kabisa mfano tales asiweke akapiga sakafu rangi madirisha akaweka wavu tu
 
Habari wakuu,

Kwa wataalamu wa ujenzi milioni 35 itaifikisha nyumba hatua gani? Ni nyumba ya vyumba 3 kikiwemo cha master, dining, jiko na stoo.
Inategemea na ukubwa wa vyumba, Mahali itakapojengwa - tambarare au kilimani(itahitaji kufanya leveling au lah), asili ya udongo wa eneo hilo (Mfinyanzi- huwa unatanuka na kusinyaa kuendanana majira ya hali ya hewa au kichanga), Raman yako nyumba ya gorofa au ya kawaida.
kimsingi Raman ndio inatuelekeza hata kupiga mahesabu ya B.O.Q eg. Cement, nondo mchanga zitatumika kiasi gani kukamilisha ujenzi huo
 
Kama utasimamia mwenyewe sawa inamaliza. Ila Kama kila kitu afanye fundi. Ww unapiga simu. Hii aitoshi kanisani
 
Huku JF kila mtu ni tajiri, amejenga nyumba ya tzs 100m kwenda mbele, sasa kuwa makini.
- Kuna watu wanauza nyumba ya vyumba vitatu kwa hiyo hiyo 35m huko Chamazi, ikiwa imekamilika, bila fensi.

Kama unalo eneo tayari;
  • Kusimamisha boma hakuwezi kuzidi 10m
  • Kufunika na blunder kama sio contemporary, pambania 8m, la, inakuwa chini ya hapo
  • 12m iweje kwenye kuziba matundu na plumbing
  • 5m itupie kwenye plaster na umeme.

Ukibana vizuri, unaweza kupiga hata white cement flani hivi.

Kama unayo 35m cash, unahamia vizuri tu, SI NDIO MAISHA yetu sisi wa hali hiyo.

Usisahau 35m hiyo hiyo, mwenzako anatungua Forester!
 
Na mimi najazia mkuu

Boma + msingi = 10m
Mashimo ya chooo = 2.0m (inaweza kuzidi hadi 3m)
Kupaua + blundering = 8m
Rough floor = 800k
Magrill = 2M (inategemea na design)
Plumbing phase 1 = 700k (vyoo vikiwa vingi inazidi)
Wiring phase one = 600k
Door frames = 700k
Plasta ndani na nje = 3.5 M (inategemea na ramani)
*kumbuka haya ni makadirio yanaweza yasiwe sahihi.
*Makadirio haya ni kwa nyumba isiyozidi sqm 150
 
Sahihi
 
Upo sahihi ufundi milioni 4 kwa hatua zote,mkoani itapungua kidogo kwa kila gharama.
 
Na mimi najazia mkuu

Boma + msingi = 10m
Mashimo ya chooo = 2.0m (inaweza kuzidi hadi 3m)
Kupaua + blundering = 8m
Rough floor = 800k
Magrill = 2M (inategemea na design)
Plumbing phase 1 = 700k (vyoo vikiwa vingi inazidi)
Wiring phase one = 600k
Door frames = 700k
Plasta ndani na nje = 3.5 M (inategemea na ramani)
*kumbuka haya ni makadirio yanaweza yasiwe sahihi.
*Makadirio haya ni kwa nyumba isiyozidi sqm 150
Hauko mbali na ukwel hii ni ya kuchukua kabisa
 
Inategemea na eneo husika,mimi nyumba yangu ya vyumba 3 nimejenga eneo lenye slope mpaka kufika linta+kozi 3 za mwisho nimetumia mil 10
 
Back
Top Bottom