Saa kumi na moja
Member
- Nov 8, 2017
- 66
- 68
KIwango kikubwa kwa mikeka yako ulikula bonuses ya bei gani mkuuMkuu jackpot ni bahati,wanaoshinda hawachezi mara hizo zote,nachezaga jackpot ya timu 17 betpawa na huwa naingia kwenye mgawo sometimes hasa pale zinapowekwa timu za ligi kubwa kubwa maana wapo serious.
Nawekaga sh 1000 nacheza mikeka 10 kugeuza geuza timu.
Jackpot ni bahati,kama una bahati unaweza ukaotea hata kwa kucheza sh 100 tu
Niliacha kucheza ya timu 13 kwasababu ina bonus ndogo unapata timu 10 unapewa hata sh500 kwasabu idadi ya wanaopata ni wengi,. Ila timu 17 nimeingia kwenye bonus zaidi ya mara 5 huwa naangukia timu 13,14 na 15, bonus ya juu ilikuwa sh 480,000.KIwango kikubwa kwa mikeka yako ulikula bonuses ya bei gani mkuu
Kweli mkeka mwingine yafaa kuweka kinyume. Nishawahi kupiga kwa sportpesa bonus mechi 11 kwenye jackpot ya mechi 13Niliacha kucheza ya timu 13 kwasababu ina bonus ndogo unapata timu 10 unapewa hata sh500 kwasabu idadi ya wanaopata ni wengi,. Ila timu 17 nimeingia kwenye bonus zaidi ya mara 5 huwa naangukia timu 13,14 na 15, bonus ya juu ilikuwa sh 480,000.
Mi lengo langu ni kupata zote ,ila kwenye jackpot ukichambua usiamini timu moja au zaidi ukairudia kwenye mikeka yote,maana ukiweka ushindi halafu haijashinda unakuwa umepoteza mechi moja tayari kwenye mikeka zote
Mkuu jackpot mi ndo napenda, maana nikiwa na sh5000 betpawa naweza nikacheza mikeka 5000 ,ukiwa makini kila weekend unapata bonus,ila kwa ligi kubwa kubwa hizi timu ndogo ndogo za sahivi usishangae kupata timu 5.Kweli mkeka mwingine yafaa kuweka kinyume. Nishawahi kupiga kwa sportpesa bonus mechi 11 kwenye jackpot ya mechi 13
Nimeamua kubet kwenye kufuga kuku wa kienyeji. Hakika sijutiiHabari mwanaJf....
Ipo hivi ili ushinde milioni 200 za jackpot betpawa ni lazima utumie Bilioni 12,914,016,300
Na ili upate milioni 10 lazima utumie milioni 159,432,300
Ipo hivyo maana yake ni
3^17 = 129,140,163 hii ni idadi ya machaguo unatakiwa ufanye ili upate tokeo moja correct kwa pick 17
View attachment 3410081
3^13 = 1,594,323 hii ni idadi ya machaguo unatakiwa ufanye ili upate tokeo moja correct kwa pick 13
View attachment 3410085
Ukiangalia hapo gharama utakazotumia kupata kwa kila moja zidisha kwa Tsh 100
Ambapo utapata Bilioni 12.914 kwa pick 17 na milioni 159.432 kwa pick 13
Chaguo ni lako uendelee kubet au uache
Kwa sportpesa timu 11/13 mbona ni hela nzuri tuKweli mkeka mwingine yafaa kuweka kinyume. Nishawahi kupiga kwa sportpesa bonus mechi 11 kwenye jackpot ya mechi 13
Kila kitu ni bahati,watu tunacheza hadi pawa6 ( correct score za mechi 6 halafu kucheza ni bure) na unaamka na hela ya supu,mtu unaotea correct score za mechi 3 au 4, inatokea siku umepatia mechi zote 6 unaamka na mil 70Betting haina hesabu, ni bahati tu. Kungekuwa na hesabu , makampuni yangefungwa.
Mara ya mwisho nilipata 11 /17.Niliacha kucheza ya timu 13 kwasababu ina bonus ndogo unapata timu 10 unapewa hata sh500 kwasabu idadi ya wanaopata ni wengi,. Ila timu 17 nimeingia kwenye bonus zaidi ya mara 5 huwa naangukia timu 13,14 na 15, bonus ya juu ilikuwa sh 480,000.
Mi lengo langu ni kupata zote ,ila kwenye jackpot ukichambua usiamini timu moja au zaidi ukairudia kwenye mikeka yote,maana ukiweka ushindi halafu haijashinda unakuwa umepoteza mechi moja tayari kwenye mikeka zote
Sasa mkuu unakata tamaa ya nini ina maana umekosa 6 tu asilimia kubwa ya timu umezipata,sh 5000 kila weekend inatosha unacheza mikeka 50 ya jackpot ipo siku wataingia kwenye mfumoMara ya mwisho nilipata 11 /17.
UKiwa peke yako unapata kamtaji ila mkiwa wengi inakula kwako unakutana na kidogo saanaKwa sportpesa timu 11/13 mbona ni hela nzuri tu
Na hao dau linaloshindaniwa hapi sportybet ni bei ganu kwenye jackpot yao ya mechi 12..?Mkuu jackpot mi ndo napenda, maana nikiwa na sh5000 betpawa naweza nikacheza mikeka 5000 ,ukiwa makini kila weekend unapata bonus,ila kwa ligi kubwa kubwa hizi timu ndogo ndogo za sahivi usishangae kupata timu 5.
Lengo langu nikipata bonus kubwa nicheze double chance za kutosha kwenye jackpot,imagine kama sportybet ya timu 12 , kuweka double chance ya timu 6 ni sh 6,400.
Bei ya jackpot ni sh 100, ila kama hamna mtu aliyepata inapanda kila week,ilifika mil 48 juzi imeliwa imeanzia tena mil 15Na hao dau linaloshindaniwa hapi sportybet ni bei ganu kwenye jackpot yao ya mechi 12..?
Sema ndogo hiyo hata kupata bonus nzuri ngumu na bonus zao zinaanzia mechi ngapiBei ya jackpot ni sh 100, ila kama hamna mtu aliyepata inapanda kila week,ilifika mil 48 juzi imeliwa imeanzia tena mil 15