X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,399
- 14,313
Kwa mliopo mitaa ya TABATA kuna milio ya risasi inasikika, tujuzeni kinachojiri huko maana tumesikia zaidi ya risasi 6 au 7.
Usiogope kaka! Ni hapa maeneo ya Kimanga stand, majambazi kama watatu hivi wamevamia mini supermarket ya IVAN na kuondoka na mzigo.
Kajeruhiwa mtu mmoja.