Kwani wewe upo wapi? Ama umelala mbele baada ya kuona tu gari za polisi?Mlio meneo hayo tujuzeni kuna nini hapa Mbezi Shule? Maana na gari 2 za Polisi zimepita muda huu
Sasa wewe uko hapo Mbezi Shule unauliza nini tena?...hapa Mbezi Shule?..
Acha basiKimenukaa watu wako barabarani
Ninesema niko Mbezi GOIG