Milio ya risasi karibu na Mabibo hostel!

ruhusu tu masikio yasikie, macho piga chini (kaa ndani usitoke)! nje si salama mwanakwetu. poleni asee.
 
Ni nusu hapa imepita na si kawaida ya hapa kuwa kimya namna hii, hii ni baada ya milio ya risasi kusikia maeneo yakaribu na hostel, ninavyoandika nasikia mlio wa risasi ya tatu, polisi hili eneo mliangalie kwa jicho la tatu maana hii ni mara ya tatu tukio kama hili linatokea ndani ya kipindi cha muda mfupi.
Usisahau kutuletea mrejesho
 
Back
Top Bottom