GEOMO
Senior Member
- Jul 11, 2009
- 105
- 21
Husein Bashe ni mbunge wa kuchaguliwa. Na Goodluck ni wa KUCHAGULISHWA. tofauti zao zinaanzia hapo na kamwe hawawezi kulingana na wala hawastahili kulinganishwa.Husein Bashe ni Mbunge wa kuchaguliwa jimbo la Nzega kupitia chama cha mapinduzi.
Na Goodlack Mlinga ni Mbunge wa Kuchaguliwa kupitia Chama cha mapinduzi.
Nani mwenye uwezo zaidi hapo? Hasa kwenye kutetea hoja. Kama vijana, na uwakilishi wa majimbo yao...?