Milinga: CCM haitumii miujiza kutawala; ashangaa Mbowe Div.O kuongoza PhD kimiujiza!

Husein Bashe ni Mbunge wa kuchaguliwa jimbo la Nzega kupitia chama cha mapinduzi.
Na Goodlack Mlinga ni Mbunge wa Kuchaguliwa kupitia Chama cha mapinduzi.

Nani mwenye uwezo zaidi hapo? Hasa kwenye kutetea hoja. Kama vijana, na uwakilishi wa majimbo yao...?
Husein Bashe ni mbunge wa kuchaguliwa. Na Goodluck ni wa KUCHAGULISHWA. tofauti zao zinaanzia hapo na kamwe hawawezi kulingana na wala hawastahili kulinganishwa.
 
Tanzania hii tokea ipate Uhuru wenye phd wengi huko CCM huwa kazi yao ni moja yaani kupiga pesa hakuna mwenye phd huko CCM amewahi kulionea huruma Taifa akaacha kuiba, hizo phd za kuunga unga za kununua vyeti phd Feki za kusoma kijanja janja mbona haziendi kufanya kazi ya Ole sendeka kule makao maku ya CCM? Kule bungeni wenye phd wengi wanamtegemea Livingston Lusinde kubajaji kujifunza siasa za jukwaani, mwalimu wa siasa ni darasa la 7 wanafunzi phd feki ama kweli CCM wanashangaza.
 
Husein Bashe ni mbunge wa kuchaguliwa. Na Goodluck ni wa KUCHAGULISHWA. tofauti zao zinaanzia hapo na kamwe hawawezi kulingana na wala hawastahili kulinganishwa.
tena hakuna Mbunge mjinga mjinga kama Goodlack yaani kichwani ni zerooo... kabsa.
 
Unadhani mleta mada na huyo mlinga mnatofauti akili zenu? Leo amekuwa na akili mlinga? Muulize Kwanza Ile sanamu ya askari Posta iliishia wapi?
Kiukweli mkuu toka nakua mimi sijawahi kuona ccm wanaakili nzuri,,
 
Phd za CCM hazijawahi lisaidia Taifa hata siku moja zaidi ya phd ya mwakyembe kununua mabehewa feki, phd ya mwandosya iliua TTL na ATC , Phd za akina kapuya, Tibaijuka, mbilinyi, na yule alikuwa waziri wa ujenzi zilisaidia nini Taifa? Wanaojiita wasomi wengi hapa Tanzania ni feki kutokana na matendo yao kutoendana na huo usomi wanaojinadi. Mfano Lipumba ni Profeselii lakini wanamfundisha Dili ni akina January form six Div zero hapo ndipo utajua phd za CCM zipoje.
 
Iv kupata PHD ndo sifa ya uongozi bora,huko ni kumdhalilisha mtu by the way swali alouliza haliusiani na academic performance.Huko ni kutumia elimu vibaya,na mwisho wasiku itabidi tuangalie elimu na uwezo.It is possible kuwa na elimu lakini uwezo hauna!.
 
Iv kupata PHD ndo sifa ya uongozi bora,huko ni kumdhalilisha mtu by the way swali alouliza haliusiani na academic performance.Huko ni kutumia elimu vibaya,na mwisho wasiku itabidi tuangalie elimu na uwezo.It is possible kuwa na elimu lakini uwezo hauna!.
Mkuu wenye phd wengi ni wasomi feki ndiyo maana matendo yao hayaendani na hicho wanachodai kipo kichwani, wapo watu hata darasa la 3 tu lakini wana upeo mkubwa kuliko hao phd wa CCM wajinga wajinga.
 
Aliyepata 0 form six,ana akili kuliko hao wenye PhD wanaoongoza hii nchi. Wewe fikiri mtu ana 0 lakini wenye PhD hawalali, hawapati usingizini kwa mipango yake
 
Katika kipindi cha Bungeni Mbunge wa Ulanga Mh.Mlinga amemjibu Mbowe kuwa CCM haitumii miujiza kutawala bali inatumia mpango mkakati kutekeleza ilani yake.

Vile vile ameeleza kuwa ni Mbowe ndiye mwenye kutumia miujiza kuongoza chama kwani amepata division sifuri form six lakini anatawala wafuasi wenye elimu za juu wakiwamo madaktari na maprofesa.

Huu moto sasa umekolea,mbowe yakupasa utueleze ni miujiza gani unatumia kutawala wasomi,nilishawahi kuhoji kwanini chadema inaongozwa kwa mfumo wa ramli? sasa hoja imetua bungeni. watetezi karibuni mumtetee.

kama Mbowe kuongoza Chadema ni muujiza, basi pengine kuna muujiza mkubwa zaidi kwa taifa kubwa kama Uingereza kuongozwa na John Major.

John Major - Life and Education

Major was born in 1943 at
St Helier Hospital in Sutton, Surrey, the son of Gwen Major, née Coates, and former music hall performer Tom Major-Ball who was 64 years old when John was born.[2] He was christened John Roy Major but only "John" was recorded on his birth certificate. He used his middle name until the early 1980s.[3] He attended primary school at Cheam Common and from 1954 he attended Rutlish Grammar School (now known as Rutlish School) in Merton. In 1955, with his father's garden ornaments business in decline, the family moved to Brixton. The following year, Major watched his first debate in the House of Commons, where Harold Macmillan presented his only Budget as Chancellor of the Exchequer, and has attributed his political ambitions to that event. He also credited a chance meeting with former Prime Minister Clement Attlee on the King's Road shortly afterwards.[3][4]

Major left school at the age of 16 in 1959 with three
O-levels in History, English Language and English Literature. He later gained three more O-levels by correspondence course, in the British Constitution, Mathematics and Economics.

Major's first job was as a clerk in the insurance brokerage firm Pratt & Sons in 1959. Disliking this job, he quit. Major joined the
Young Conservatives in Brixton at this time.[5] Major was 19 years old when his father died at the age of 82 on 27 March 1962. His mother died eight and a half years later in September 1970 at the age of 65.[6][7]

After a period of unemployment, Major started working at the
London Electricity Board in 1963 which is where incidentally his successor as Prime Minister, Tony Blair, also worked when he was young. He later decided to undertake a correspondence course in banking. Major took up a post as an executive at the Standard Chartered Bank in May 1965 and he rose quickly through the ranks. He was sent to work in Jos, Nigeria by the bank in 1967 and he nearly died in a car accident there.[1
 
Katika kipindi cha Bungeni Mbunge wa Ulanga Mh.Mlinga amemjibu Mbowe kuwa CCM haitumii miujiza kutawala bali inatumia mpango mkakati kutekeleza ilani yake.

Vile vile ameeleza kuwa ni Mbowe ndiye mwenye kutumia miujiza kuongoza chama kwani amepata division sifuri form six lakini anatawala wafuasi wenye elimu za juu wakiwamo madaktari na maprofesa.

Huu moto sasa umekolea,mbowe yakupasa utueleze ni miujiza gani unatumia kutawala wasomi,nilishawahi kuhoji kwanini chadema inaongozwa kwa mfumo wa ramli? sasa hoja imetua bungeni. watetezi karibuni mumtetee.

GREAT THINKERS HUWA HATUWEZI KUSIKILIZA WATU WENYE UTINDIO WA UBONGO AU ULEMAVU WA AKILI KAMA HUYU DOGO,NA WALE WABWATUKAJI TEAM VIILAZA YAO.
HUYU TOKA ARITHI NAFASI YA MAMAYE KAFUBAA AKILI NA UBONGO
 
Waliojenga chama tunawajua, hacha uongo, yupo Dr slaa, Zito kabwe, lema Wenje, Msigwa, zero wako sasa hivi anajionyesha alivyo mtupu kichwani
That is BS, Slaa is No Body, Ni Kweli Zitto amesaidia sana Chadema, Lakini Kamuulize Zito ni nani aliyemsaidia sana Kufika hapo alipo. Kwa Maneno yake Mwenyewe, Zitto anakiri Mbowe amemjenga sana Kisiasa. Na Kwa Kifupi, Kwa Hiyo Na wewe Kama Huyo Mbunge Juha! unaamini Mbowe anatumia Muujiza Kuwaongoza Wasomi Chadema? Asijua Uwezo wa Mbowe Kiakili na Kiuongozi Tanzania ni Mjinga tu! Na Unajithibishia hili. Tofautisha Kumpinga Mtu na Kukubali Ukweli.
 
msitusahaulishe rushwa za mil 10 walizopokea wabunge wa Chama Cha Mandipuzi, regardless division 0 ya mbowe:

TUNATAKA MAELEZO KWANINI NS ALIMZUIA PIEM ASIJIBU SWALI LA MBOWE!
 
Acheni kutokwa mapovu, jibuni hoja iluyopo...kwani kasema uongo? Hakupata hiyo ooo na hawaongozi wasomi...ni miujiza hiyo
 
Hivi Olesendeka Muhongo alisemaga matokeo yake ya form six na kusema alipata 0. Hivi ni kweli kuwa Olesendeka ni kiongozi wa chama na Muhongo ni mwanachama wake eh?
 
Acheni kutokwa mapovu, jibuni hoja iluyopo...kwani kasema uongo? Hakupata hiyo ooo na hawaongozi wasomi...ni miujiza hiyo
Hoja ipi ijibiwe? Povu lipi? Muujiza upi? Kinana ana phd? akina mangula, sendeka na wenzao pale CCM makao makuu wana phd? Nani kakuambia phd za CCM ni Usomi? Hizo phd feki za kuunga unga zimelisaidia nini Taifa?
 
Huyo Dogo ubunge wenyewe ni wa kupewa hata phd yake itakuwa ni hivyo hivyo ndiyo maana aliwahi kusema Diamond ajengewe Sanamu , wanamjua ni aina ya Mbunge mjinga mjinga ndiyo maana waliwahi kumvua kofia bungeni, ngoja watampatia jawabu pindi wakipata mda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom