Miliki kampuni yako kirahisi

Waambie nida wakurekebishie inawezekana na ukasajiri kampuni kwa Namba tu hata kabla hawajakupa kitambulisho.
Yaan naelekea mwezi wa 2 nahangaika nao wameniambia wamesitisha kutoa namba zikizokosewa sijui kisa corona!
Na niliwaomba mno!
 


Dah..umeipataje!?
 
Nimesajilia jina la mume! Ana hofu balaa anajua ukindaki ndaki wangu niharibu wamkamate yeye🤣🤣🤸🤸✌✌
Pole😅.Karekebishe sahivi hakuna jamu.Tena wewe hilo tatizo lako ni dogo tu halitachukua muda mrefu.Si umesikia walivyotia mkwara kuhusu kumiliki laini zaidi ya moja mtandao mmoja.
Hongera kwa ndoa👏.
 
Mkuu angalia usifukuzuliwe bujumbura,,,kwani unajua angalau kuongea kisukuma,,labda itasaidia kidogo🙄🙄?
😛😛😛! Ajabu wasukuma wote Kule wamepewa..except me!..kwakweli kilugha nw nakijua vilivyo
 
Pole😅.Karekebishe sahivi hakuna jamu.Tena wewe hilo tatizo lako ni dogo tu halitachukua muda mrefu.Si umesikia walivyotia mkwara kuhusu kumiliki laini zaidi ya moja mtandao mmoja.
Hongera kwa ndoa👏.


Kesho naenda Tena ..maana wakiona simu yangu oh dada wa geita eh..subiri😔!
Kwamba hongera kwa ndoa! Haya senkiu vere machee( in Makinda's voice)
 
Namba ninayo kaka😅.Nangoja hardcopy tu.
 
Mie nimepata deal nikaambiwa fungua kampuni chap...lols ..shetani anambwembwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…