geezojeezo
Member
- Dec 9, 2019
- 37
- 43
Hivi kwanini kusajili kampuni Hadi iwe na Nida mkuu? Kwanini kitambulisho kingine inakataliwa
,[emoji1787][emoji1787][emoji39][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtoa mada una kampuni au unasajili tu?
Hii inaonyeshaMtoa mada una kampuni au unasajili tu?
Sina ndugu ....labda wanahisi mhutu😔Huna NIDA?
Mimi nina namba tu!Sina ndugu ....labda wanahisi mhutu😔
Gharama za kufungua kampunii ni kiasii ganii.
Kuendesha na kodi zake za mwakaa.
Mie hata namba niliambiwa imekosewaMimi nina namba tu!
Mimi nina namba tu!
Laini ulisajili vipi🤭🤭Mie hata namba niliambiwa imekosewa
Oh kumbe.Asante.Namba ndio inayotakikana ....kama ipo ..IMEISHA HIYO
Nimesajilia jina la mume! Ana hofu balaa anajua ukindaki ndaki wangu niharibu wamkamate yeye🤣🤣🤸🤸✌️✌️Laini ulisajili vipi🤭🤭
Waambie nida wakurekebishie inawezekana na ukasajiri kampuni kwa Namba tu hata kabla hawajakupa kitambulisho.Mie hata namba niliambiwa imekosewa
Basi kwaheriMie hata namba niliambiwa imekosewa
😔😔😔😔! Mungu yu namiBasi kwaheri
Ulichelewa kudownload kabla hawajaweka kauzibe? Binafsi utundu umenisaidia, baada ya kuona sole za viatu zinazidi kuisha kwa safari za nida, nikaamua kutulia na kitecno changu,wiki tu nikapata namba na kudownload faster, saa hivi hata hardcopy watoe mwaka 3000,sina preshaMimi nina namba tu!