Miliki Boda Boda Kwa Bei Chee. Hii hapa 650

lete rimoti

Senior Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
159
Reaction score
202
Unazijua Boxer? Toleo la Kwanza Zile ndefu. Ndio hii hapa sasa Ilikuwa ikitumika kwa Safari za Ofisini na bro yangu ambaye ni Askari. Haijawahi kubebewa Mizigo wala Abiria (as bodaboda)
*Inapiga stater
*Haikoromi
*Kadi yake ipo.
*Mali Bado Mpya haijaenda mail age ndefu.
Zingatia Bei 650k.
 
Kelele za nini? Weka mipicha hiyo
 
Unazijua Boxer? Toleo la Kwanza Zile ndefu. Ndio hii hapa sasa Ilikuwa ikitumika kwa Safari za Ofisini na bro yangu ambaye ni Askari. Haijawahi kubebewa Mizigo wala Abiria (as bodaboda)
*Inapiga stater
*Haikoromi
*Kadi yake ipo.
*Mali Bado Mpya haijaenda mail age ndefu.
Zingatia Bei 650k.
Pikipiki iko wapi sasa? Onesha picha acha story nyingi
 
Unazijua Boxer? Toleo la Kwanza Zile ndefu. Ndio hii hapa sasa Ilikuwa ikitumika kwa Safari za Ofisini na bro yangu ambaye ni Askari. Haijawahi kubebewa Mizigo wala Abiria (as bodaboda)
*Inapiga stater
*Haikoromi
*Kadi yake ipo.
*Mali Bado Mpya haijaenda mail age ndefu.
Zingatia Bei 650k.
Ety zile ndefu toleo LA kwanza.....bila picha?
 
Location?
Documents ziko full?
Tuma Picha muonekano wa sasa
 
[emoji16][emoji16][emoji16]Afande Maiko wa Kituo cha Chang'ombe
hahahahahahahahaha.
Kuna jamaa amenipigia hapa akaniambia "namjua Afande mwenyewe hiyo boxer na umwambie atauza kilakitu alichokuwa nacho, ye si anajifanya mjanja wa kukopa pesa hovyo". nikasema duh mdomo koma
 
[emoji1787]
 
Back
Top Bottom