Milard Ayo unapotosha umma! Huo ni uwongo uliokubuhu!

kwanza robo ya wahudhuriaji walikua ni wafanyakazi wa kampuni ya WAFU FMI!!! Pili NDUGU WA DAMU KAMA WAJOMBA NA MABINAMU NA MAJIRANI,, TATU, KUNA ROBO YA WATU WALIINGIA KWA COMLIMENTARY !!Wachache sana ndo walitoka kwa moyo!!!
Madent wa IFM waliingia kwa buku 5 tu, nao hawakua wengi.
 
Ila nahisi hamjamuelewa ameandika shoo ilihitaji watu 400 tu kwa maana ya viti ila hajasema shoo ilihudhuriwa na watu 400 so mpango unaweza kuwa viti 400 na wakaingia watu 100 sijaona ubaya

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ila nahisi hamjamuelewa ameandika shoo ilihitaji watu 400 tu kwa maana ya viti ila hajasema shoo ilihudhuriwa na watu 400 so mpango unaweza kuwa viti 400 na wakaingia watu 100 sijaona ubaya

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Labda alimaanisha hivyo!!
 
Ila nahisi hamjamuelewa ameandika shoo ilihitaji watu 400 tu kwa maana ya viti ila hajasema shoo ilihudhuriwa na watu 400 so mpango unaweza kuwa viti 400 na wakaingia watu 100 sijaona ubaya

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kama unavyodai ni hivyo, maswali ya msingi ni haya:

1/Kwanini hakulisema mapema hilo watu wote tukalijua mapema(Ili watu tuwahi kugombania tiketi za show yake mapema!!), amesubiri mpaka show imebuma ndio anakuja kuropoka hizo myth?

2/Kulikuwa kuna ulazima gani wa kupiga Promotion kubwa sana ili watu wengi waje, wakati alikuwa anahitaji small fixed na limited number ya fans wake kuja kuhudhuria?

3/Nini logic ya kulazimisha kupambana na Lady JD katika kufanya show?

4/Nini msingi wa MwanaFA kutaka kufanya show kubwa kwa kutumia 'Ukumbi mdogo'? Alikuwa hataki watu wengi waje au alijua atapata watu wachache sana ndio maana akaanda mkumbi mdogo?
 
pamoja na hayo nakubaki njaa mbaya sana, hasa ile inayoingia hadi kwenye ubongo!
 
Millard, With all due respect to you, I bet you gonna lose what you have now.
Kuwa mkweli, have free mind! U got a lot of potentials to become superstar... Young, talented, handsome and hardworking! Guess you're missing confidence and wisdom. Be wise n confident, the world will salute you!
Futa kauli yako ya watu 400, acha biases!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Millard Ayo tulia...hapo Clouds wewe huku mtaani unapendwa na kuheshimiwa kuliko hata Ruge na Kusaga,usiipoteze Tunu hii....mtaji wa furaha ya moyo si pesa,bali ni watu
 
Kwa hiyo Millard anatuaminisha kwamba watu walikuwa idadi sawa ni viti au nini?
 
Sijui ruge anawapa nini hawa vijana! Wamekuwa kama nini sijui,in short they are not independent!yan hata blog zao binafsi wanaambiwa waandike nini?

I used to like millardayo ila now nshaona uzushi tu!dogo anapotea mapema sana we muache!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

masikini miladayo yani tayali wamesha mlibelali na ameshaanza kuwa na tabia za ke
 
Watu 400x10000=4,000,000, ok wanaFA aliingiza mil 4, sasa toa gharama za ukumbi, mziki, wasanii waliom- support , media, na gharama nyinginezo, huyu jaamaa atakuwa kala hasara, either redio ya wafu, imeingia harasa , au yeye FA , imekula kwake.
 
Mimi napenda kuwapongeza sana team anaconda pamoja na the finest for what they did..kwa kweli kwa wapenzi wa muzik tuliburudika..nachotaka niwasihi humu ndani..tufike mahali tujielewe..wale ni wasanii..they make money kila mtu kwa nafasi yake..kupitia mibwabwajo yako wewe wale wanapata kula yako..unavyoumiza kichwa kumuaza ruge sijui kusaga..akili yako inapoteza nafasi ya kuwaza maendeleo yako..unavyowawaza sijui millard sijui jay dee..ushawah kuwaza kama ww wanatumia angalau hata sekunde moja kukuwaza??what its on their mind saiv wanawaza wafanye nn tena wapate kula kesho..!tuache malumbano yasiyokuwa ya hoja..kuumiza vichwa..kama vipi nenda site kagombane na mafundi wako wa ujenz..acha ushabiki wa kimbea..tuwatakie kheri dada yetu jide na FA..na sio mengine..mabifu yao tuwaachie..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Dah kazi kweli kweli hivi watu wanalipwa humu ama? Na kuhusu millard yeye alisema show ilihitaji watu 400 na hakutaja idadi ya walioingia na nani kati yenu asiyemtii bosi wake kazini? Hata kama aliambiwa aandike ivyo ulitaka akatae akale kwa mama ako? Au ungemwajiri wewe?
 
eti the finest SHOW ILIHITAJI WATU 400 TU!! Acha uwongo kaka! SHOW YA MWANAFATUMA ILIKOSA WATU!! Ayo maneno yako kwenye blog yako yanadhihirisha jinsi ulivyo mtumwa wa fikra!! Tunajua ni RUGAY aliyekuambia uandke hayo!!! Jana wananchi wamewaonyesha kwamba NYEUSI HAIWEZI KUWA NYEUPE DAIMA! ! THINK INDEPENDENTLY BRO!!!!!
Hapa sijui mkweli ni yupi, MwanaFA mwenyewe hapo anasema show iakuwa na watu 500, msikilize @1.58
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom