Hizo pesa ukizi_convert kuja kwa pesa za madafu ni kiasi gani? Ukikipata jiulize swali kwanini anaendelea kufanya kazi CMG basi wazee wa despacito watakuwa na pesa chafuuuuuuu
600 views Millard $4m,Diamond 512 m views $2.6 m,why ?,Rayvany 129 m views $2.8m mmmh,Sijui umetumia kikokoto gani au link ya uongo manake Mathematicaly ina prove wewe na hiyo link wote waongo au karudie hesabu zile za shamba mf watu 10 hulima shamba kwa siku 4 je watu 9 watalima kwa siku ngapi,simple fanya milard 600 m views thamani $4m,Diamond 512m views ,thamani yake itakuwa ngapi una cross matapu tapu utapata jibu.