Milango

manyusi

JF-Expert Member
Mar 3, 2009
292
170
Tunatengeneza milango ya aina mbali mbali kwa kutumia mninga mkongo na mvule bei zinatofautiana kulingana na aina ya mlango bei zina range Tsh 250,000-300,000 kwa mlango mmoja.finishing yetu ni nzuri sana,karibuni.Unaweza ni PM au tuma email kwa akamanyusi@yahoo.com
 

Attachments

  • IMG0056A.jpg
    3.7 KB · Views: 130
  • clip_image002.jpg
    38.7 KB · Views: 421
  • IMG0055A.jpg
    3.8 KB · Views: 136
nI pm MIMI nipo Seriously nahitaji milango 8 ya ndani na miwili ya njoo cha nje na mmoja wa Jikoni. Nyumba yangu ni Ndefu kozi 10 lita kozi tatu kama kutakuwa na discount tutafanya biashara.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…