Kwa sababu haipo mingi sana kwa hiyo huwezi kutengeneza milango say 13 ukaweka design tofauti, what if mteja mmoja akahitaji minane au kumi? Sidhani kama inapendeza kuweka milango tofauti katika nyumba moja.