Kama kichwa cha habari, naombeni mwenye used au mipya milango na frame zake kama naweza kupata kwa bei nafuu, nipo Dar ES SALAAM mbezi kavu au kibamba.
Asanteni

Hivi mnampataje huyu mtu mimi nilichat naye zamani sana hadi no ya Simu alinipa akanisaidia jambo langu siku hizi namsaka simpati kabisa, labda Akio a uzi huu atanitafuta, nashukuru sana