64Door Tanzania Limited
Member
- Mar 27, 2019
- 8
- 0
Tunaweka kulingana na standard measurements za mlango, how; urefu ni 210cm or 240cm (Hii ina vent) na upana wa mlango ni 80cm,90cm na 100cmHivi ku-install frame za hii milango, huwa mnatindua ukuta au mnaweka vipi!?
Asante sana mkuu.Hongereni kwa kazi nzuri.
Mnatumia mbao gani kutengeneza hiyo milango?
Na kama nikataka vitasa specific mnaviweka?
Ndio mkuu..Hiyo ndo milango mlio tengeneza???
Asante sana mkuu.Hongereni kwa kazi nzuri.
Mnatumia mbao gani kutengeneza hiyo milango?
Na kama nikataka vitasa specific mnaviweka?
Ni kweli mkuu, ila kwa matumizi ya ndani ni hakuna shida hata 🙂Cypress!? Hiyo mkuu ukipiga ngumi mlango si unakuwa vipande vipande tu
Ndio zinajumuisha fremu na mpaka kukufungia mlango nyumbani kwako.Bei zenu zinajumuisha frem, kama nilishaweka frem yangu bei ya milango na hivyo vingine inakuwaje?