ARCHBISHOP
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 271
- 488
yule mzee (msengi) alikuwaga anapika ngumi ya hatari ukileta usengewalamboooo_wamojaaaa
kwa wale tulioxoma milambo men(shule ya wanaume milambo) 2juane humu JF kdogo tujikumbushie shule yetuu...milambo (open university) babu msengi akiwa ndo provider mkubwa wa msosi..
hao walikua walambo wa plastiki bila shakaNilikuwa Tabora Boys 1980.tuliwachapa sana Hawa wavulana was Milambo.wanaume wa Ts sio mchezo.Tulikuwa na Makongoro Nyerere.
zoma ana kichwa kikubwa kama tofali la nyati cement, mjinga katili yule ila kwa walambo anatuliawe mlambo gani s unaandika x? hizo tabia za boyzia shemeji zetu, nakumbuka milambo yetu enzi ya majubwa na mwalimu wa michezo alikua anaitwa zoma, kipindi cha kombe la mgulunde mkitoka uwanja wa mwinyi kila mnachokutana nacho njiaani ni halali yenu, tushawachapa sana tbr boyz usiku tulivamia tukaenda na tbr girls gonga sana tukarudi shule, kufika wakaja ffu kibao ukawa msala mkubwa raia kibao tulipigwa chini na wote waliobaki shule nzima wakalipishwa faini ya uharibifu uliotokea!
hii habari nimeiona jana madogo wanaendeleza umafia...sema hapo wataisomaLin hii maana thread ya mwaka 2015
Wakati Niko pale 2002-2004 kuna mwalimu aliniambia tatizo ni jina pale,vijana wanawazimu kama walivyokuwa askari wa mtemi milambo....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Juzi j2 madogo wameamsha dude,nahisi milambo kuna shida y ukorofi hauishi?
Mwaka Jana tuliamsha dude mtaa wa Mwinyi, asee siwez sahau shule nilifika kwa mbinde nilipaona kama mwanza to dar.Wakati Niko pale 2002-2004 kuna mwalimu aliniambia tatizo ni jina pale,vijana wanawazimu kama walivyokuwa askari wa mtemi milambo....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi mkuuMkuu hii video ya lini . ..Kwa kweli vijana wamepinda
Nokia ya Torch
milambo men High schoolTulioxoma = tuliosoma.
2juane =tujuane.
Shule ya wavulana milambo sio ya wanaume.